Recent content by Che Machemba

  1. Che Machemba

    Masculine responses

    Without hesitation................................!
  2. Che Machemba

    Congo dust ni nini?

    Ni balaa za vijana mkuu,mbadala wa viagra,wanaamini ni vitu vyenye asili ya congo na blahblah nyingine
  3. Che Machemba

    Baada ya mifuko ya plastic ni wakati sasa wa kuangazia pia suala la kusimama kwenye daladala

    Unajua kinachotukwamisha wakati mwingine ni mfumo wa kijamaa ambao tumekuzwa nao,hivyo tunashindwa kujua wakati gani tuutumie na wakati gani tusiutumie,huwa inatokea ukitoa hoja ya kwamba magari yasisimamishe wananchi wanasema kwamba magari ni machache hivyo ni bora gari moja lililofika...
  4. Che Machemba

    Baada ya katazo la mifuko ya plastiki

    Baada ya katazo la mifuko ya plastiki almaarufu rambo,naona wajanja wajanja wa mjini wameona fursa kwa kigezo cha kutengeneza na kuuza mifuko mbadala,sasa wanaonea watu hususani wenye kipato cha chini kwa kuwauzia mifuko mbadala kwa bei kubwa kuliko hata bidhaa inayobebwa na mfuko husika,mfano...
  5. Che Machemba

    Plastic bags ban

    It is my opinion that plastics bag-ban should go concomitantly with the general cleanliness enforcement policy, so as to avoid back and forth movement. I dare say that this is a perfect time if not timing, cause this shows how we are tired of living surrounded trashes. What I try to say is, the...
  6. Che Machemba

    Mifuko ya "Rambo"

    Hivi mwenye "brand" yake ndg Stallone anataarifa na Juni Mosi:D
  7. Che Machemba

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Naona UDOM wametuweka wazi kuhusiana na "kideo" cha Askofu kuwa ni mambo ya teknolojia,kiasi cha kuiasa dunia ya sasa kuwa kuna umuhimu ya kuwa na jeshi la mtandaoni:)
  8. Che Machemba

    Trump and Africa

    He is welcomed, but he should understand that there are no walls here, so is it is a better place to take some lessons.
  9. Che Machemba

    Katika Matajiri wetu 10 wa juu Tanzania, hakuna aliyesoma Chuo Kikuu ndani ya nchi! Uchumi wetu unategemea elimu za nje, kwanini?

    Ni kwasababu washikiwa uchumi hatujishughulishi na uchumi wetu,hakuna dhana kwamba kwasababu wamesoma nje ndo kigezo cha kuushika uchumi,ngoja nifanye utafiti kijua kama SSB (Azam) Aliposhika uchumi tayari alikuwa amesoma nje.
  10. Che Machemba

    Mvua zinazoendelea

    Ukanda wa pwani karibu wote
  11. Che Machemba

    Mvua zinazoendelea

    Mvua zinazoendelea kunyesha zitupe funzo kuwa tunapaswa kujiandaa kwa majira mbalimbali ya mwaka,hii ni kutokana na kile kinachoonekana kuwa bado kuna ombwe la "maandalizi" ya kukabiliana na hali mbalimbali za kimazingira,mathalani unakutana na akina Mama/Dada wamebeba watoto bila hata kuwa na...
Back
Top Bottom