Baada ya katazo la mifuko ya plastiki

Che Machemba

Member
May 17, 2019
12
5
Baada ya katazo la mifuko ya plastiki almaarufu rambo,naona wajanja wajanja wa mjini wameona fursa kwa kigezo cha kutengeneza na kuuza mifuko mbadala,sasa wanaonea watu hususani wenye kipato cha chini kwa kuwauzia mifuko mbadala kwa bei kubwa kuliko hata bidhaa inayobebwa na mfuko husika,mfano unanunua bidhaa ya shilingi mia tano na kuiweka katika mfuko wa shilingi elfu moja!

Jambo hili ni vyema likaangaliwa na mamlaka husika ili kumpunguzia mlaji makali maana hakuna siku mfanyabiashara atamuonea huruma mnunuzi kwa kigezo cha utu
 
Back
Top Bottom