Recent content by chazachaza

  1. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Amazing Egypt

    how abt foreigners who came and Robb our natural resources ,to me inorder to make Africa great ,we firstly protect our resources ,from been robbed by wazungu !! have u ever think that without Africa america,Asia , Europe and the like wouldn't be as they're now, those tall buildings u see there...
  2. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Lukia Khan ,nakukumbuka mno ,daah alikuwa ni mke mtarajiwa wa rafiki na ndugu yangu George (boss mtoto) ,huyu mtt wa kiarabu alikuwa charming Sana .rukia Khana katoto kazuri from Dom jiji.nilipata taarifa upo Dar kwa taasis fulani .ukipita hapa ,njoo inbox Basi .najua utanikumbuka enzi hizo...
  3. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Kumbe kujikomba kunalipa sana maishani

    Kwanza mm nikigundua unatabia za kujikombakomba ,nakuweka mbali mita elfu 10, watu wa namna ni wasaliti ,muda wowote anaweza kukuharibia !!
  4. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simon Sirro kung'olewa, who is Next?

    anayefuata ni mbowe
  5. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Sipendezwi na jinsi inavyolazimishwa sasa CDF kuwa chini ya Waziri wa Ulinzi 'Kiprotokali' wakati Waziri wa Ulinzi ndiyo anapaswa kuwa chini ya CDF

    naunga mkono hoja,jeshi letu liheshimiwe !! NI jeshi lenye sifa zilizotukuka Africa yote ,Sasa tusianze kulichukulia poa . Jeshi halifungamani na siasa zaidi lina monitor wanasiasa na siasa zao ,na kulinda mipaka ya nchi na raslimali za nchi!! CDF sawa anateuliwa na rais lkn baada ya uteuzi ,ni...
  6. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

    Nikitafakali kwa kina Sana nakubaliana na kagame,ni heri Mali ya DRC na yy afaidi ,kuliko wafaidi wazungu ambao sio bara lao na sio wa Africa,wao DRC wameshindwa kuzilinda zisipolwe na wazungu ,wanahangaika na ndg Yao kagame!!
  7. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Baada ya Joe Biden kupata COVID, Makam wa Rai aongezewa ulinzi

    Ndo watajua kuwa Putin,ni kiumbe kutoka sayari isiyojulikana!!
  8. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Joto kali lasababisha vifo zaidi ya 1000 nchini Ureno

    unakalili Mambo ya shule !!
  9. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

    [emoji23][emoji1787] eti Kama waraka wa serikali[emoji23][emoji23].Ila ww umemtext ka meseji kadogo kashindwa kujibu[emoji28][emoji23]
  10. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

    Hilo linajulika
  11. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

    mnadhani Russia ni Zimbabwe sio!! uhasama wao haujaanza leo ,Tena baada ya majaribio yote na mbinu zote kushinsikana za kumuua Putin kushindikana ,wakaona Sasa waingie vitani .
  12. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Kauli zao zinapoteza matumaini mengi ya wengi

    dunia ya leo sio ya kufundishana Mambo ya historia za mkwawa ,ni dunia ya sayansi ,muwe mnawa3lekeza watt wasome masomo ya sayansi ,tatzo wengi wanaona sifa kukimbilia chuo kukuu halafu course ni buchela ya ualimu art [emoji28],si bola angeenda veta akachukie ujuzi wa kujiajiri.
  13. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na hii Teua Teua ya Balozi kwa kila Mtu, kwani inatuaibisha na inadhalilisha pia Hadhi ya Neno Balozi kwa wenye Akili duniani

    baloz huteuliwa kwanza umahili wake na elimu,lakini pia huangaliwa lengo la nchi kwenye balozi husika ni Nini,lakini pia Hali halisi ya nchi aendayo .hivi hutumika kumpata mtu atakaye fiti kwenda kuwa baloz nchi husika. Ila Sina uhakika Kama kwa Sasa yanazingatiwa haya, siku hizi imekuwa Kama...
  14. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa bia washauriwa kunywa chupa moja kwenda nyingine baada ya saa moja

    Ha ha ha ha ha .daa u broke ma ribs !!
  15. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

    uzuri wanafuana na mbabe na ndo ameshika mpini wa EU economy!! ngoja tuone , Euro mpaka itafika jero !!
Back
Top Bottom