Baada ya Simon Sirro kung'olewa, who is Next?

Baada ya Simon Sirro kung'olewa, who is Next?

TISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
Hapo unaposema suala la Machinga eti alishauriwa vibaya nadhani haupo sawa. Alichofanya Mama ni jambo la kupongezwa na yeyote mwenye akili. Nchi haiwezi kuwa na watu wanaotaka kufanya biashara za nyanya na dagaa kwenye barabara au popote tu ilimradi mtu kajisikia , ni vurugu hakuna utaratibu , miji inaonekana michafu.

Ukienda kwa wenzetu unakuta miji misafi sana hakuna nyanya barabarani wala vibandabanda visivyoeleweka, kama unataka huduma nenda sehemu husuka sokoni hata kama ni mbali. Mbona majumbani mwenu hamuweki jiko la mkaa Sebuleni mkapika Kande.

Mama amefanya vema sana suala la Machinga, pia Mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam ameonyesha uthubutu kuliheshimisha jiji ikiwa ni pamoja na Mbezi yetu.

HAKIKISHENI MACHINGA HAWARUDI KUHARIBU MAADHARI YA JIJI LETU
 
TISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
Achaga upumbavu! unataka machinga waendelee kukaa barabarani?
 
Swala la machinga huwezi kusema kashauriwa. Hilo ni swala ambalo lipo na siku zote linatakiwa kutekelezwa ila ni sababu za utu na siasa ndo zinafanyaga lisitimizwe vizuri
Mku kushauriwa vibaya kwani kumbuka hawaliopp huku chini yake ambao wanahusika na hii sector ndo wanaomwangusha.
Ukitaka kujua hilo nenda Kariakoo Mgambo wa jiji uangalie wa na kufanya Kazi kwani kumbuka wanazidi kumwongeze mama chuki kwa Machinga
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.

Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
anayefuata ni mbowe
 
Anayefuata ni yule mkwe wa Mbowe anayeitwa
DPP KWEKA!

Utumishi wa umma ni kazi za kupokezana kijiti.
Hakuna mtu anakaa pale milele na hata huyo mteuzi naye ana muda wake wa kupisha wengine.

Nyinyi chadema mnalifanya kama suala la kukomoana vile.

Sababu utamaduni wa kuachiana uongozi huko chadema haupo.

Ndio maana mnafurahia na kusomba wafuasi wenu kwenda kushangilia mahakamani.

Yakiwarudi Nyinyi mnakimbilia kulialia Club House.

Simamameni na Kingai kwa sasa.
 
Takukuru.
Hii ya TAKUKURU ni kweli imeshindwa Kufanya kazi zake na hii ingevunjwa kwanza na kesi zote za kisiasa ilizofungua hii TAKUKUTU zifutwe , Leo taasisi hii bila aibu inapewa maelekezo na mtu kama PM katelefoni , RC hapi, v DC, v DED, MP gambo hao Sasa hivi wanamsikiliza sana PM wakiamini atapindua meza ya SSH 2025
 
Ohoooo !!!
 
Siro kastaafishwa kwa kuzawadiwa ubalozi huku Kingai akipanda cheo. Maigizo maigizo kila siku.
 
Hivi aliyewaloga ni nani? Hili nalo la kufurahia kweli?
Hajang’olewa bali amesitiriwa mbona mnakuwa wagumu kuelewa. Kazi bado anayo analipwa mshahara kwa kodi zenu.
Tupo tulipo kwa sababu hatujitambui… badala ya kumuuliza mteuzi kwa nini bado anampa kazi au muende mahakamani kufungua kesi za matendo yake dhalimu mpo humu kuuliza who is next!
Okay kukiwa na next then what?

Upinzani unageuka upungu……

Wengine hatuna vyama
Ukweli
 
Rasimu kama inaparaganyisha haya madude ya urais na vitengo muhimu kama jeshi, mahakama nk, basi wananchi tusimame kidete ije katiba mpya, haya madude yanayoendelea ninkero sana.
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.

Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Hizi teuzi mbili za IGP na DCI zahitaji umakini sana khasa sasa hivi ambapo nchi ipo njia panda.

IGP alitakiwa atoke kati ya RPC wote na hapo wachagua mmoja wao bora kisha wampandisha cheo na kuwa IGP.

Hio yasaidia kuleta ushindani na kupata "fresh talents" ndani ya jeshi.

Sasa, kwa mfano kuna mtu kama CP Andengenye alikosa "last time", isingekuwa jambo baya kumpa nafasi hiyo kwa wakti huu.

Wambura sina shida nae ila kulikuwa na nafasi ya kutoa ushindani kati ya RPCs na wale CPs.

Camilius Mongoso Wambura ataifanya kazi yake kiufanisi zaidi kwa kuzingatia tayari ane kachero mwenzie na kijana bwana Kingai.

Ramadhani Kingai sina tatizo nae kwani tayari yeye ni kachero mbobezi na amefanya kazi hiyo Arusha, Dar kwa kipindi kirefu hivyoi twaweza sema yeye anastahiki nafasi hiyo ya uDCI.

Tatizo linoonekana kwa uteuzi wa Kingai ni ile kuonekana kwamba ni zawadi "baada ya kazi ngumu ya kufatuta pesa na kisirani cha kufokewa na boss"- Jerry Nashon Dudumizi.

Sasa ni yupi afuatia sidhani kama kutafanyika mabadiliko mengine kwenye vyombo vingine kwa sasa kwani hayo maeneo mawili IGP na DCI yalihitaji mabadiliko ya lazima.
 
Mku kushauriwa vibaya kwani kumbuka hawaliopp huku chini yake ambao wanahusika na hii sector ndo wanaomwangusha.
Ukitaka kujua hilo nenda Kariakoo Mgambo wa jiji uangalie wa na kufanya Kazi kwani kumbuka wanazidi kumwongeze mama chuki kwa Machinga
Chuki ni kawaida kwa kiongozi. Ukiziogopa huwezi kamilisha mipango
 
Hiyo tume ya maboresho ya jeshi la polisi ianzishe uuzi hapa jF tutoe maoni yetu kuisaidia.

Afande IGP ukisuka team yako usimsahau yule right hand man wako wa pale mahakamani Kisutu mlipo tuhudumia Watanzania wenzenu kwa umahiri mkubwa.
 
Chuki ni kawaida kwa kiongozi. Ukiziogopa huwezi kamilisha mipango
Mku kuna maisha baada ya uongozi ndo maana Mzee Mkapa aliomba msamaha juu ya ubinafsishaji wa Mali za umma.
Uongozi sio uadui kwani kiongozi mzuri hupata ushirikiano mzuri kutoka kwa anaowaongoza
 
Back
Top Bottom