Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,229
- 98,191
Mwanzo nilikuwa nawadharau sana watu wanao jikomba komba kwa viongozi.
Lkn sasa baada ya kusikia kutoka kwa kiongozi wa dini kuwa ili ufanikiwe inabdi ujikombe nimekubali.
Wale wote waliokuwa wanasifu na kuabudu ndiyo leo wapo juu juu kabisa wakila matunda ya kusifu wakubwa.
Mufano ni mingi mno ila naomba tumsikilize kiongozi wa dini juu ya watu wanao jikomba wanavyofanikiwa.