Recent content by CHAZA

  1. C

    Mekanika kaniwekea Diesel Engine Oil kwenye gari langu la Engine ya Petrol. Je kuna madhara!?

    Itakua ni Kampuni ya Toyota. Case kama hiyo kwa Nissan au Subaru au gari za Ulaya, muda huu ungekua unazungumza uite Breakdown
  2. C

    Analysis reports ya kitaalam nani kashinda Vita Iran vs Israel

    Unaweza kulipua nyuklia dunia ikapona? Kama siyo propaganda za kitoto utaita nini? Yaani kuwe na nyuklia halafu uishambulie kisha useme dunia iko salama. Kiukweli watu wamekua wajinga sana wa kufikiri
  3. C

    Historia ya wamakonde

    Hii si kweli. Ukweli ni kwamba Wamakonde walio na chale au walio na chanjo hizo ni kutoka Msumbiji na kwa Mtwara ni wahamiaji tu. Wengi wanatokea Wilaya ya Mueda kule Msumbiji jimbo la Capo Delgado. Wamakonde wa bara kwa upande wa Tanzania HAWANA chanjo na asilimia zaidi ya 99 ni Waislam[...
  4. C

    Marekani yapeleka ndege hatari 4 za masafa marefu B-2 kambini Bahari ya Hindi, zitashambulia Iran na Yemen bila ulazima kutumia kambi za washirika

    Kuna mwaka Qaseem Suleiman aliuawa na US drone. Irsn ilisema itajibu. Mwanzoni ilidhaniwa ni utani. Lakini kweli US Military Base ilishambuliwa vikali na IGRC kulipa kisasi. Inapokuja kuivaa Iran, wote US na Israel wanajua kuwa siyo kitu rahisi. Na kumbuka hapo imefanyika hila ya vikwazo...
  5. C

    Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

    Gari ni Sedan, halina Four wheel, wala siyo off road. Engine kubwa bila sababubza msingi na kiukweli, ukiwa kwenye foleni ulaji wa mafuta ni mkubwa sana, utafikiri tank la mafuta linavuja. Engine cc2500 [2.5] hadi cc 3000[3.0], sawa na Engine ya Harrier, sasa kwa Sedan inakua siyo economical...
  6. C

    Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

    Sasa SA hataenda Goma, ataenda Rwanda
  7. C

    Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Kwa vigezo vya Urban proper, majiji ni Dar, Arusha na Mwanza yaani CBD. Hata Dodoma bado. Ila kwa metro majiji ni Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya ikifuatiwa na Tanga. Hata hivyo Morogoro na Moshi vinaweza kupewa hadhi hiyo na kuyapiku majiji kama Mbeya na Tanga, Dodoma ni bahati yake tu kwq sababu...
  8. C

    Bandari ya Mtwara kwa sasa ina uwezo wa kuhudumia Zaidi ya Tani 1,000,000 kwa Mwaka

    Hii umedadavua vema sana. Kiukweli kuna hatua kubwa imepigwa. Sasa ni muda wa kuongeza ushawishi ili wafanyabiashara waitumie hata kushushia magari yaendayo Zambia, Malawi na hata Congo
  9. C

    Azov Brigade, Magharibi wanakuendesha vile wanavyotaka wao kuwa makini

    Kuna watu ni wajinga sana. Hivi walowezi wa Kiyahudi wakiondoka ardhi halali ya Wapalestina kuna madhara gani? Kuna watu hawapendi huu mgogoro uishe kwa maslahi yao binafsi. Mipaka iliyokwekwa na UN kwa nini haiheshimiwi kila mtu akaishi kwao? Kwa sasa Wapalestina 12000+ wamekufa na Wayahudi...
  10. C

    HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

    Sasa swali ambalo silielewi, pamoja na kubomolewa maghorofa, bado mateka hawajakombolewa?
  11. C

    Israel wajiandae na tetemeko la 'Middle east' watakapoingia Gaza - IRAN

    Israel gani alishinda vita? US au Israel? Acheni kujitoa ufaham
Back
Top Bottom