Recent content by Chaz C

  1. C

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Akutangaze nani na we huna jirani.
  2. C

    JamiiForums Tanzania ukiwa mgonjwa......................E ndelea tuchangie

    Watu tunashangaza sana mtu akiwa anaumwa mahtuti na hana uwezo akiomba msaada kila anasema hana kitu. Akisha fariki michango ya watu inakaribia milion. Hapo inakuaje? Inamaana kifo ni muhimu kuliko uhai
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    We potezea lakini jua wanawake sio watu leo kwa mwenzio kesho kwako ni mfano tu wanawake wanatusaliti kwa mengi, sio ajabu hata hiyo hela robo tatu imetoka kwa rafiki yako ana pewa ya matumizi alafu umepewa wewe. Ndo uanaume lakini wanawake sio unaweza kumpa kila kitu lakini ndo hivyo.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

    Nimesave M.D
  5. C

    JamiiForums Tanzania ndefu lakini tamu (jamani shemeji)

    Da hiyo kali
  6. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Wanaona aibu kwa ahadi walotoa ndo maana hawataki kutangaza hata huku tabora mambo ni hayo hayo.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    Ina kuwaje kumpiga mtu risasi kifuani wakati hana hata kisu? Inaonekana hawa askari huwa wanalindwa hawachukuliwi hatua ndo maana wanakuwa wajeuri. Au kuna kingine.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya aina ya laptop ya kununua

    Toshiba mpango mzima
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

    Ndo mipango ya mungu mama piga moyo konde huu wakati mgumu utapita na ww utarudi kuwa nomal
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usimchukie mpenzi wako, usichungulie tupu yake

    Sio kweli mie my wife mpaka namsafisha ma.... Mchana kweupe na mambo mwemwele ile ile.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada waungwana!!!

    Tumia NIVEA
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananichanganya

    Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani. Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii naomba msaada toka apate kazi amekuwa na kiburi, anataka hela yangu ndo itumike tu yakwake wala...
Back
Top Bottom