Mnairobi achana naye huyo...keep it up....i would expect this guy to be mtanzania and come up with beautiful pics of Dar! can he do that? wewe mjomba unayepiga madongo Nai hata camera unayo lakini? acha bifu! kama ulikuja Nairobi ukakaa mahoteli ya uchochoroni hayo matatizo yako! ila u cant...
mtasema sana ila kula (ufisadi) hatuachi!! hiyo ni midomo midomo tu haina madhara....mkitaka kujua hizo kampuni za nani nendeni mahakamani, ulizeni na mtajibiwa! period!
Ni rais mstaafu. Ni lazima tumuheshimu. we do not want to set a bad precedent. Kama anatuhumiwa wanaomtuhumu wampeleke mahakamani. Kumzomea haisaidii na ni kuvunja sheria!!
Nimewachezea watu kibao Greencard lottery na baadhi wamepata....ila jamaa wako majuu hata salaam kwa mshikaji aliyewafanya wawe huko hakuna.Malipo kwa mungu na this time na mimi nimepata! tutakutana huko huko US! Kuhusu suala la kwa nini wabongo wengi hawashiriki,ninaweza kusema matatizo ni...
I dont mind kuwa na rais kutoka upinzani ila tatizo ni kumtoa CCM! kwanza tuimegue megue then ndio tumtafute mtu kama Slaa aingie....so far, not bad ! I am sure kwa haya yanayoendelea ndani ya CCM, matajiri wakina Rostam soon watakuwa upande wa upinzani; ila this time ndani ya CCM! i mean...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.