Hivi kwani kuna mtu anafundishwa kulima?,then waalimu kwa tabia hii mnaendelea kuifanya kuwa fani ya watu wasio na upeo wa kufkri,mmeshaambia ajira leo zinatoka,imekuwa kelele kila kona,hivi leo inaisha saa ngapi,hembu ipeni hii fani heshma yake kwa kuwa na uwezo wa kufkri.
Hivi chama kinategemea heti wasira ndo jembe lao si uchizi huo,yaani mi mfano nisimame jukwaani na wasira,na bado mwezi wa tatu tunaanza kupiga kampeni dhidi ya katiba ccm
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa wana Chato kwa jinsi walivyo onyesha imani yao kwa CHADEMA,hongereni sana.
CCM wameshinda lakini nilinganisha hali ilivyokuwa 2010 na leo ni tofauti kabisa kati ya vijiji 58 tumeshinda vijiji 42,so unaweza kuona ni jinsi gani wananchi wamebadilika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.