Recent content by CharmingLady

  1. CharmingLady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninaishi na maumivu

    Pole sana my dear, mimi hapa nilifiwa na mwanangu mikononi mwangu 2020… Ila Mungu aliyenipa ndiye aliyetwaa… Naona kama juzi tu… Najua bado una maumivu ila ruhusu moyo wako kukubali… Mwenyezi Mungu akufariji sana, kifo kisikie tu kwa jirani.. Wakati mwingine hatuna budi kukubali mapenzi ya...
  2. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    NGO wanapita mpaka 7m degree level… Pole kijana
  3. CharmingLady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    Niliwahi kukutana na mwanaume wa hivi, aisee tulipobreak nilishukuru… Aaaaahhh hapana
  4. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

    Hata jeneza halina mbwembwe
  5. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Na mkewe kafariki leo… Dah 😭
  6. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Wakongwe Forum

    Hivi nami kumbe muhenga humu eeeh…
  7. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

    Watu kwa kufukua makaburi… All in all shogaa, nimekukosa sana!
  8. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Wadau wale watu wa online mkuje hapa nahitaj msaada

    Njoo inbox dear
  9. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Mtoto kupiga chafya wakati akinyonya, kweli kunasababisha ziwa(titi) kuvimba?

    Hivi hii mada hamkuiona au hamuelewi?
  10. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Kwa hiyo nadanganya kufiwa? Basi sawa, vyovyote utakavyoamini
  11. CharmingLady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

    Aisee… Wewe umekuwa mkweli kwa nafsi yako!
  12. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Aliondolewa 2022, karudishwa tena 2024! I’m confused

    Amehamishwa leo
Back
Top Bottom