Recent content by Charmaine

  1. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Hii mpiga miti ipo Liwale, Na huko ulienda kwenye ushirikina
  2. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Dream League Soccer Special Thread

    Nani yupo online tukipge dls muda huu
  3. Charmaine

    JamiiForums Tanzania TRY AGAIN: Rais wa FIFA Gianni Infantino aliniambia Timu ya simba inacheza vizuri kuliko Mamelod sundown na Wydad

    Ungeanzia ligi ya ndani,IHEFU AMEMKANDA YANGA X2,simba AMEMKANDA IHEFU X2....Yanga anamfungaje simba kama sio kwa uchawi.?
  4. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Mikese kwa mbele,Kijiji kinaitwa Lubungo
  5. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Tafakuri muhimu

    Unapokuwa na furaha sana au Hasira sana tunashauriwa kutofanya Maamuzi au Jambo lolote lile ambayo linakufanya Utoe ulichonacho muda huo inaweza kugharimu na yule Adui yako akakujua zaidi lazima kuficha Yabaki moyoni na mengine yafanyike kwa makini na muda muafaka. TULIA VUTA SUBIRA KILA KITU...
  6. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

    Kwani simba ni Team ya kwanza dunian kutokuwa na Uwanja.?
  7. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

    Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako? Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili...
  8. Charmaine

    JamiiForums Tanzania ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Ndio maana waislamu wanasema kuna mbingu ya 1,2,3,mpaka ya 12
  9. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii

    Sijui mmetolea wapi hili Jina Kuitwa Timu ya Taifa Uganda GIFT FRED mmewaonaje Waganda yaani mtu hajacheza toka aje anagugumia tu hata kumdhamini mmemuweka benchi wenyewe now mnasema Uongo Kaitwa Tunaomba Uthibitisho wake Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii Kudanganya watu...
  10. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana

    Sasa yule Wakili wa Kujitolea kazi za Ushauri kwa kesi za wachezaji fifa toka Yanga akaitete Club yake hapa.
  11. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Wanaua Brand ya Azamtv

    Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana! Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia WANDENGEREKO tu, hata kwa vitu vya hovyo Yote hii ni baada WANDENGEREKO waliandika barua Azam kulalamika kuwa yeye Mpenja hawapendi na hawataki atangaze mechi zao TOBA TO МАОКОТО yakaja na siunajua Mpenjatv...
  12. Charmaine

    JamiiForums Tanzania Timu ya ASAS toka Djibouti mchana huu

    wakijikusanya kutoka Hotelini Kariakoo kwenda kucheza na Yanga Chamazi kwenye CAF sasa Angalia Mbwembwe za Upande wa Pili utadhani wanaenda kucheza na Mamelod hivi Zingatia Room hapa Bed & Breakfast ni 50,000 tu
Back
Top Bottom