Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii

Charmaine

Member
Jan 4, 2023
61
160
Sijui mmetolea wapi hili Jina Kuitwa Timu ya Taifa Uganda GIFT FRED mmewaonaje Waganda yaani mtu hajacheza toka aje anagugumia tu hata kumdhamini mmemuweka benchi wenyewe now mnasema Uongo Kaitwa Tunaomba Uthibitisho wake Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii Kudanganya watu kazi Yenu oneni Aibu basi
c0234326-d02c-4a96-8422-9b8196c9ac63.jpg
 
Sijui mmetolea wapi hili Jina Kuitwa Timu ya Taifa Uganda GIFT FRED mmewaonaje Waganda yaani mtu hajacheza toka aje anagugumia tu hata kumdhamini mmemuweka benchi wenyewe now mnasema Uongo Kaitwa Tunaomba Uthibitisho wake Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii Kudanganya watu kazi Yenu oneni Aibu basiView attachment 2736692
acha ujinga gift kaitwa
 
Back
Top Bottom