Tafakuri muhimu

Tafakuri muhimu

Charmaine

Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
61
Reaction score
161
Unapokuwa na furaha sana au Hasira sana tunashauriwa kutofanya Maamuzi au Jambo lolote lile ambayo linakufanya Utoe ulichonacho muda huo inaweza kugharimu na yule Adui yako akakujua zaidi lazima kuficha Yabaki moyoni na mengine yafanyike kwa makini na muda muafaka.

TULIA VUTA SUBIRA KILA KITU KITAKUWA WAZI UZURI WA MPIRA NI MCHEZO WA WAZI
LAZIMA mambo mengine yaendelee ni kipindi cha mpito kigumu ila cha kujipanga haswa tuna mambo mbele yetu magumu na muhimu sana sasa sio muda wa kuonyesha nguvu yako inatokea wapi bali kupambana maana muda haupo na hauturuhusu katika mambo kadhaa wa kadhaa.

POLENI SANA WAPIGANAJI WOTE
NGUVU MOJA.
 
Bado hamjasema mtalia kila mlio.

TUNAPOSEMA MJIANDAE KISAIKOLOJIA GUNAMAANISHA.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom