Recent content by charles kyutta

  1. charles kyutta

    TCRA yafikiria kufuta mpango wa ving'amuzi kuonyesha vituo vitano bure kama huna salio

    Afute tuuu mbona AZAM kifurushi kikiisha wanakata wanabakiza TBC peke yake
  2. charles kyutta

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    USIMDHIHAKI MUNGU HATA KIDOGO, huwezi kufanya conclusion ya kuwa hakuna Mungu kwa kufanya reference ya kitabu kimoja cha DINI, wakati duniani Kuna DINI nyingi sana, UISLAM, BAHAYI, HINDI, nk na bado huwezi kusema Mungu hayupo wakati kunasayari nyingi sana ULIMWENGUNI,vipi kuhusu viumbe...
  3. charles kyutta

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Hamna sense hapo lete mada nyingine hiyo noooooooooo! Tatizo hijui biblia umegusa gusa vitu kidogo bila kutafuta majibu You know nothing.
  4. charles kyutta

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nipo dodoma chamwino nataka kusogea karibu na nyumbani SINGIDA, wilaya ya MANYONI au ITIGI, ELIMU SEKONDARI
  5. charles kyutta

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Natafuta Eneo zuri DAR ambalo naweza kuwekeza kwenye mgahawa wa chakula na kuchoma chips, Kuku, mishikaki n.k, naomba uniambie eneo unalolijua.
  6. charles kyutta

    Huu ni mchina,mturuki au mbelgiji?

    Siyo mwili wake kaweka magodoro
  7. charles kyutta

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Dodoma chamwino niende singida idara kondar
  8. charles kyutta

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Dodoma chamwino niende singida ,moshi no.0715365000
  9. charles kyutta

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Haaaaaaa basi Taifa stars ndiyo kichwa cha mwendawazimu siyo sisi.
  10. charles kyutta

    Rais Magufuli akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Ikulu

    Labda amuongize kuiba lakini kuziba mianya ya rushwa Mr.prezooo anajua na ni talanta siyo ya kufundishwa, ye aende akapumzike bana.
Back
Top Bottom