Recent content by Charity Jackson

  1. C

    JamiiForums Tanzania Air condition(ac) inauzwa.

    Nisaidie namba yako unayotumia whatsapp nahitaji ac lkn kuna mambo nahitaji kuyafahamu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania GARI LINAUZWA

    Gari aina ya Rav4,CC 1998,Usajili T 588 CHQ lina hali nzuri kilometa 82,000. Location Kigoma.Open roof na engine haijafunguliwa. Bei 9,500,000 maongezi yanaruhusiwa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi call/ whatsapp 0687634408/
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetia aibu kubwa ukweni

    hehehehehe yaani watu mmepinda jamani kaaah hehehehehe
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu vyangu vya ndani vya kisasa..bei chee!

    Naomba uniuzie mapazia na makapeti,pia naomba kujua bei ya flat screen
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu vyangu vya ndani vya kisasa..bei chee!

    Mimi niuzie mapazia na kapeti maana naishi mbali
  6. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    2990 mhmm na hali ya uchumi wa magu!
  7. C

    JamiiForums Tanzania rav4 oldmodel inahitajika

    Lipo nauza ila sio rangi nyeusi,haijatumika sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua kutoka gheto la 30,000/= hadi 100,000/=

    hehehehehe umehamua kutuchekesha
  9. C

    JamiiForums Tanzania ATCL: Dom-Kigoma-Dar?

    kigoma wateja wa ATCL ni wengi mno na ndosababu haujawahi kusikia njia hii imesitishiwa usafiri maana ndiko wanakochuma pesa. Kilio cha wengi ni gharama (bei) kama ingekuwa nafuu ingekuwa mara tatu ya ilivyo sasa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania ATCL: Dom-Kigoma-Dar?

    ATCL wana wateja wengi sana kigoma na ndo usafiri pekee wa uhakika kwa wafanyabiashara wa kugoma, tatizo ni bei (nauli) yao Dar to Kigoma.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Madale

    Mil 4.9 siwezi pata?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Unajua sijajua kutumia mtandao,samahani ntauliza ngoja nifute
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Jamani msaada mnisaidie ,dawa ya kienyeji ya malaria sugu!na U.T.I
  14. C

    JamiiForums Tanzania Forever Living

    Kwa ujumla kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote ya mtandao ufikirie mara mbili.Maana ukiingia kwenye mikutano yao kwa jinsi wanavyoshawishi utajua kesho naenda kuwa Dangote lakini duu!!.Waweza saga mguu ukitafuta wateja mpaka kiatu kinan'goka sori!!!
Back
Top Bottom