Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

Big Money

Senior Member
Oct 24, 2011
166
15
Harrier Old Model
2990cc
6 Cylinder
180,000km
Silver/ Grey Color
TV
Full Ac
Vibali vyote vimelipiwa
Matari yanafaa kwa safari ndefu
Engine safi haisumbui wala kuvuja
Automatic
5.9 million
0716398757
Exchange pia ina karibishwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
IMG_2117.jpg
IMG_2126.jpg
IMG_2119.jpg
20170318_100122.jpg
20170318_100037.jpg
20170318_095807.jpg
20170403_102609.jpg
 
No.A uliipaki wapi hadi iwe na km180,000 tu?
ilikuja na zero km?

Sema unaiuza utaeleweka sio kuweka details za uwongo
 
Mkuu hakunaga Toyota Harrier Lexus. Ama ni Toyota Harrier au ni Lexus RX300. Hiyo yako inaonesha ni Toyota Harrier. Watu wengi wamekuwa wanabadirisha Harrier kuonesha zifanane na Lexus RX. Kutaka kujua hilo, moja ya tofauti kubwa ya hizi gari ni kwamba Toyota Harrier huwa na front fender (mirrors) lakini Lexus RX hazina.
 
Nashukuru kwa elimu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom