Msaada jamani

le madame

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
476
263
Mtoto wa kiume miezi 10, sasa hapendi Kula zaidi ya kunyonya na uzito haongezeki ni miez 3 constant anamaintain, nimeshabadili vyakula hadi basi, multivitamin sijaoba mabadiliko, sasa vipi
 
Back
Top Bottom