Biashara yetu imekua ngumu. Kuuza Dawa ya kuswakia 30,000 sio rahisi tena!Kwa usawa huu, hawa watu wapo hadi leo??
Mkuu mimi nimeachana na hii biashara soli ya viatu inaisha nazunguka na juice bei shs 50,000/= nimuuzie nani nimeamua kunywa mwenyewe nikaingia mitini kulima matikitiKwa usawa huu, hawa watu wapo hadi leo??
Jamn sasa mi nataka tu bidhaa so nielekezen kama mnajua walipo na hata sitaki kujiunga[HASHTAG]#Charity[/HASHTAG] Jackson
kuna siku nlikua nasoma majarida yao, wanaonesha watu waliofanikiwa tu. Na inspirational words. Kiukwel kdogo nishawishke kujiunga.
Mambo ya biashara watanisamehe kuna product yao iko vzr so nahihitaji thats why nawaulizia hawa watuKwa ujumla kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote ya mtandao ufikirie mara mbili.Maana ukiingia kwenye mikutano yao kwa jinsi wanavyoshawishi utajua kesho naenda kuwa Dangote lakini duu!!.Waweza saga mguu ukitafuta wateja mpaka kiatu kinan'goka sori!!!
Pale makumbusho complex huwaga wanakuepo wanafanyiaga training pale so unaeza pata au ingia instagram wapo wanaouzaMambo ya biashara watanisamehe kuna product yao iko vzr so nahihitaji thats why nawaulizia hawa watu
Naomba kuelekezwa kuna bidhaa nahitaji kutoka kwa hawa watu wa forever living nitawapata wapi mjini hapa i mean makao yao makuu DSM naomba kuelekezwa