Recent content by chaphuka

  1. C

    Majipu Halmashauri: Hussein Ngaga ameifilisi Mbinga

    Wadau awamu ya 5 imeonyesha kidogo kuwa na dhamira ya dhati ya kuzuia wizi na ubadhilifu wa mali ya umma Na sisi wananchi kama wadau muhimu ni wajibu wetu kumsaidia mtumbua majipu kuwafichua hawa watu wanaoitwa majipu ili wachukuliwe hatua stahiki MBINGA ni moja ya halmashauri zilizokuwa tajiri...
  2. C

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Kwani wote waliokuzalisha wamekununulia nini dada yangu.....??
  3. C

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Nimesema kwa aliye interested ukiniuliza kwa nini nimesema awe na kazi ya kueleweka nina maana ya mazingira atakayokulia mwanangu angalau pawe na tv, play station, azungukwe na maisha ya kiwango cha kati ili kuepuka mwanangu kukulia mazingira ya kiswahili kwa sababu katika umri fulani...
  4. C

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Ila ajue kuwa at some point ntamchukua mwanangu....muulize kuhusu hilo akiwa tayari aje inbox
  5. C

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Isije ikawa natuma fedha za mtoto mama ananunulia wigi
  6. C

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Mie sio mzee ni 38 yrs old na ninao watoto wawili sihitaji mahusiano ya kudumu
  7. C

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Asiwe na Miaka 40 asiwe chini ya Miaka 24 awe na Kazi inayompatia Kipato. Gharama zote za kumtunza, kusomesha Mwanangu zitakuwa zangu,ila hakuna kuoana kwa aliye tayari aje inbox.
  8. C

    CCM yachezewa rafu nyasa , CHADEMA yapata wenyeviti wa mitaa baadhi ya vijiji bila kupingwa

    Mkuu uliza watu walio Nyasa utapata ukweli mie pia nilikuwa huko mwezi uliopita
  9. C

    CCM yachezewa rafu nyasa , CHADEMA yapata wenyeviti wa mitaa baadhi ya vijiji bila kupingwa

    Ukweli nyasa anayeivuruga ccm ni kijana mmoja mtia nia wa chadema kwa sababu kijana huyo alifanya kazi halmashauri hiyo kwa muda mrefu kwa hiyo ana marafiki wengi pale ofisi ya mkurugenzi na hata watendaji wa kata na vijiji wamefanya nae kazi miaka mingi kwa hiyo wamekuwa wakimpa ushirikiano wa...
  10. C

    Mbinga tumepigika inatosha sasa CCM kwaherini

    Wanabodi nianze kwa salam, Wananchi wa wilaya ya Mbinga kwa umoja wetu tunakiaga chama cha mapinduzi kwa sababu ya madhambi makubwa ambayo tumekuwa tukifanyiwa na viogozi wa wilaya kuanzia mwaka 2005 hadi leo hii. Kwa miaka mingi wilaya hii ilikuwa na sifa za uchapa kazi na ukusanyaji wa...
  11. C

    CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    Hapa mbinga amsha amsha za bodaboda zimeanza kwa style ya honi polisi wana gari moja na aina hakika kama lina mafuta itakuwa ngumu kudhibiti maandamano ya njia 3 hawana ujanja na tumeshawasambazia vipeperushi leo iwe siku yao ya mwisho kuishi mtaani wote wana mie line police
  12. C

    CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    Wadau wa mbinga kesho kama tulivyokubaliana kwenye kikao tulichomaliza hapa katika ukumbi wa ngollodoto kuwa viongozi wa mitaa kwa ushirikiano na waratibu ratiba itakuwa kama ifuatavyo maandamano yataanza katika njia tatu mbuyula na mbambi tutaanzia kwa Hamis fundi baiskeli, tanki la maji...
  13. C

    Sitashiriki maandamano CHADEMA

    Na lilaaniwe tumbo lililokubeba tumboni kwa miezi 9
  14. C

    Hivi CHADEMA bado wapo?

    Mkuu achana na huyu KULI dhulumati wa rambirambi za wajane
Back
Top Bottom