Wanabodi nianze kwa salam,
Wananchi wa wilaya ya Mbinga kwa umoja wetu tunakiaga chama cha mapinduzi kwa sababu ya madhambi makubwa ambayo tumekuwa tukifanyiwa na viogozi wa wilaya kuanzia mwaka 2005 hadi leo hii.
Kwa miaka mingi wilaya hii ilikuwa na sifa za uchapa kazi na ukusanyaji wa mapato uliokuwa ambao uliasisiwa na Bw Hussein Kattanga ambaye kwa wana Mbinga ni kama baba wa wilaya hii alioondoka ndg Katanga ndio wizi ulipoanza kushika kasi.
Sasa kwa kuwa CCM mmeshindwa kuwadhibiti Mkurugenzi na mkuu wa wilaya wanaiba mnawaangalia tu miradi inajengwa chini ya kiwango mpo mpo tu manunuzi ya vifaa yanaongezwa bei kuliko bei halisi mnatumbua macho tu si mbunge wala madiwani.Mnachekea wizi halmashauri imefilisika shajara maofisini hakuna mafuta hakuna.
Wananchi tunawaambia kwaherini ya kuonana tumekuwa mabwege inatosha sasa.