Wadau awamu ya 5 imeonyesha kidogo kuwa na dhamira ya dhati ya kuzuia wizi na ubadhilifu wa mali ya umma Na sisi wananchi kama wadau muhimu ni wajibu wetu kumsaidia mtumbua majipu kuwafichua hawa watu wanaoitwa majipu ili wachukuliwe hatua stahiki
MBINGA ni moja ya halmashauri zilizokuwa tajiri sana huko nyuma kwa kufanya vizuri kupitia makusanyo ya ndani ya usuru wa kahawa na mazao mengineyo. Huyu Mkurugenzi alitokea wilaya ya Nanyumbu kama mweka hazina alipohamishiwa huko mbinga na kuwa mkurugenzi alifanya ubadhirifu wa kutisha
kwanza alianza kwa kupanga safu yake ya watu wasio nasifa na kuwafanya wakuu wa idara. Emmanuel Kapinga aliyekuwa afisa mtendaji wa kata akamfanya kuwa afisa utumishi wa wilaya Bwana Mazito aliyekuwa muhasibu wa kawaida akamfanya kuwa mweka hazina wa wilaya na akahamisha wakuu wa idara waliokuwa anawaona kiwazo
Baada ya hayo akaanza kufanya ufisadi wa kutisha akiwashirikisha Mkuu wa wilaya Senyi Ngaga na DSO kama kinga ambao wote amewajengea maghorofa Dar
Kwa uchache amefisadi fedha kiasi cha bilioni 1.8 zilizotolewa na nssf kama mkopo kwa vikundi vya wakulima wa kahawa
alijiuzia gari jipya V8 (2009) kwa shilingi milioni 9
alikuwa ananunua kila kitu yeye mwenyewe toka dar then taratibu za manunuzi zina back track
amehujumu mfuko wa pembejeo za kilimo
Kuna mengi kafanya na kuiacha halmashauri hii na madeni makubwa vijana wake aliowateua kwa maslahi yake kuwa wakuu wa idara wana utajiri wa kutisha unaotia mashaka makubwa
Kwa sasa kahamishiwa halmashauri ya wilaya ya Kondoa
Wajulisheni wenye mamlaka wakaichunguze hiyo halmashauri na kukagua hesabu zake maana nssf watakapoanza kuwadai wakulima fedha ambazo hazikuwafikia itakuwa vurugu