Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

-Wewe CV yako mbona hujaiweka
-Wewe ndo utakayehudumia sasa ina ulazima gani wa awe na kazi ya kuaminika
-Kwanini usichukue yatima ukalea

cc chaphuka

Nimesema kwa aliye interested ukiniuliza kwa nini nimesema awe na kazi ya kueleweka nina maana ya mazingira atakayokulia mwanangu angalau pawe na tv, play station, azungukwe na maisha ya kiwango cha kati ili kuepuka mwanangu kukulia mazingira ya kiswahili kwa sababu katika umri fulani nitamchukua na kuishi nae
 
Last edited by a moderator:
Ninunulie nyumba mikocheni moja nikae Mimi nyingine ya wapangaji...gari mbili za kutembelea range.na .coaster mbili za kubeba abiria..na unifungulie duka moja la vipodozi na jingine la vitu vya jumla...kama upo tayari ni Pm

Kwani wote waliokuzalisha wamekununulia nini dada yangu.....??
 
Ninunulie nyumba mikocheni moja nikae Mimi nyingine ya wapangaji...gari mbili za kutembelea range.na .coaster mbili za kubeba abiria..na unifungulie duka moja la vipodozi na jingine la vitu vya jumla...kama upo tayari ni Pm

wachaga bwana!!! hamuendi kwa hasara nyie.
 
Back
Top Bottom