Recent content by Chapati Tatu

  1. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Tukio la Jana Lisigeuze Mgawanyiko

    Hata kanisani wakileta huu upuuzi watazomewa vile vile, waache kuwaona watanzania ni mazuzu
  2. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

    Nauza kahawa, una lipi la kunishauri??
  3. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Picha: Kipanya anajaribu kutuambia nini hapa?

    Mtu kufyeka nyasi zake ishakuwa nongwa??
  4. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anam-post Bosi wake WhatsApp Status

    Kitanzi sh ngapi??
  5. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Gawio la Bilioni 61 za NIDA: Mteja wa Mwisho ni Wewe! Taarifa zako Binafsi zinapogeuzwa kitegauchumi na Serikali

    Aisee, kwa namna hii bas watakuwa wanatengeneza hela nyingi sana maana ni taasisi nyingi sana zinahitaji hizi taarifa za NIDA
  6. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania RC Simon Sirro: Kwa uzoefu wa askari wetu kifo cha dereva wa Heche kilikuwa cha kawaida

    Kwa wasifu wake hakutakiwa kusema haya, unategemea Polisi - ambao kiutawala yeye ni mkuu wao - watatoa ripoti inayotofautiana na alichokisema??
  7. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

    SEX IS NOT A CRIME, usijione shujaa wala, na by the way ni kitu ya kipuuzi kuona eti "Umeishinda hamu ya kufanya ngono", that sounds a bit weird!!
  8. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Gawio la Bilioni 61 za NIDA: Mteja wa Mwisho ni Wewe! Taarifa zako Binafsi zinapogeuzwa kitegauchumi na Serikali

    Nieleweshe kidogo hapa mkuu kama hutojali
  9. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuhusu kifo cha dereva wa John Heche

    RC Sirro - mkuu wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, amesha'pre-empty ripoti ya surbodinates wake - POLISI, unategemea waje na ripoti inayopingana na alichoripoti wakati wa mahojiano yake asubuhi ya leo??
  10. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania KERO Makanisa ya Kilokole yadhibitiwe. Yanapiga mziki mkubwa sana katikati ya makazi ya watu. Tuna wagonjwa na wanafunzi

    Ukienda wanaanza kukuombea kwanza, huenda una mapepo, na sadaka utoe.
  11. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa afya na nguvu naombeni shughuli ya kufanya niingize kipato

    Kwahyo aandae maziwa kwanza au frying pan kwanza au jiko??
  12. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Majina ya kibantu yanayofurahisha

    Wanajiona wa kishua sana wale watu, wanaona wakiongea kichaga wataonekana washamba
  13. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Majina ya kibantu yanayofurahisha

    Osorong'ong'o
Back
Top Bottom