Recent content by chanyera1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

    SAUT??????? nenda. gpa minus 3 uwe sawa na UDsm
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV

    Nyie mnalenu hakuna kama Marin. Semen la moyoni juu yake. Hakuna ka yeye
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Mwehu huyo hana point.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

    Wewe ndio mbaya kwa kuona zuri moja. Mbona yapo mengiiii
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Huo ndio ukweli soma ukijua vyuo hivyo vinachukua reject za vyuo vizuri nchini
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete umefanya kosa la kiufundi,next time you are the target for resignation

    Acheni iwehu nyie walalamishi . na mtabakia hivyohivyo. baraza liko poa. mlitaka nyie ndo mchaguliwe nyambafuuuuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    wasiotafakari ndio mashabiki ya chadema. chadema kwishinee
  8. C

    JamiiForums Tanzania Majangili waua tena faru Serengeti, jana usiku!

    KAKA siku hizi nasikia wanaweka sumu kwenye majani. then wanakufa. na askari wa porini waligundua hilo kwa kuchelewa sana.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Slaa akwama kufanya Mkutano Jimboni kwa Zitto, Wananchi wasusa

    Semeni ukweli. Wala kunona hatutaki sisi. Mm niko mwandiga
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

    Inawezekana kwani vip. Hao mitume waliopita waliokua n wake wengi waliwapendaje kama musa.ibrahim.daudi. Nk
  11. C

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Kipanya kwa CHADEMA!

    Dr. Sifuri
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    Picha wanaweza copy toka sehem nyingine ngoja tuone akifika kasulu tunamsubiri kwa ham
Back
Top Bottom