Hello family,
Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya Kimara temboni mpaka Kiimara mwisho.
Sifa za nyumba
Vyumba vitatu, sebure na jiko, Fence and stand alone. Huduma muhimu kama maji na umeme viwe vya uhakika. Pia kusiwe mbali saana kutoka Morogoro road.
Kama unamfaham mtu anayehama...