Recent content by chamriho

  1. chamriho

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kwenu kuwa Ridhiwani Kikwete atatufaa sana Urais baada ya Magufuli

    Huyu riziwani mpiga deal au Mwingine? Basi tutamsimamisha Daduley Mbowe ashindane nae.
  2. chamriho

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Polisi wavamia mkutano wa ndani wa Uchaguzi jumuiya CUF Handeni

    Nyie ni washirika wao imekuwaje tena
  3. chamriho

    JamiiForums Tanzania Landmarks za Tanzania na Majina ya Viongozi

    Sukuma empire on regime, tunaona mengi.
  4. chamriho

    JamiiForums Tanzania Huku ni kufukua makaburi au ni kujipaka matope?

    Yale Ma v8 ya Kijani wakati wa Kampeni yalinunuliwa na nani??
  5. chamriho

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Tumuombe Cheyo Mamose John agombee Urais atujaze Mapesa mifukoni
  6. chamriho

    JamiiForums Tanzania Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

    Ndefu sijasoma yote, nipeni summary
  7. chamriho

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina akabidhi rasmi ofisi kwa waziri mpya wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki

    Magufuli amrudishe Mpina Wizara hii. Kwa ufupi Rais amemuacha mtu muhimu sana katika kusimamia Wizara, Baada ya muda mfupi Rais atajua kuwa amechemka kumuacha huyu Mwamba.
  8. chamriho

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

    Wakati Jakaya akiwa Ikulu tulikwenda kumtembelea, The man was very smart. Jiwe yuko na ushamba mingi~ in kenyan's voice
  9. chamriho

    JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Liitwe daraja la Wasukuma
  10. chamriho

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

    Mnataka aguswe wapi? Kwani Shubashi ni kabila gani?
  11. chamriho

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ahukumiwa kwenda kutumikia kwenye Chuo cha Mafunzo (Gerezani) kwa kubaka msichana wa miaka 17

    JELA MIAKA 30 KWA UBAKAJI: Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kijana aliyefahamika kwa jina la Halawa Tabu mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 19...
  12. chamriho

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ahukumiwa kwenda kutumikia kwenye Chuo cha Mafunzo (Gerezani) kwa kubaka msichana wa miaka 17

    Yaani unalipa laki mbili tu. Unaongea kuhusu Laki, Afadhali mutunyonge, ~Makhoha.
Back
Top Bottom