Haaaaa haaaa.
Na wewe pia, Puuuuuuuresha inapanda inashukaaaaaa
Na wengine kama wewe puuuuuuuuuresha inapanda inashuuukaaa
CCM, puuuuuuuuuuresha inapanda inashuka
Hii nimeipenda sana maana hata kama huna uhakika na jambo lenyewe bado unatanguliza malalamiko du. Sijuwi inakuwaje kwa mwendo huu. Yaaani hii inaitwa "Complains in advance". ili itakapotokea uwe umeshatimiza wajibu wetu wa kulalamika safi sana.
Na hii je: Nimesikia JK atamteua RA kuwa PM...
Ili iweje wakati lilikuwa tamko tu na wala haikuwa sheria tena ni la wana CCM tu na wala sio sisi wote. Ni uvivu wa kufikiri kudhani litatufaa. Halikusaidia chochote na halitaweza kusaidia binadamu yeyote duniani. It was really unresearched declaration.
Mi namuamini sana Mkuchika nashangaa hujamuweka kwenye list huyu jamaa anafanana na mkapa anaweza fanya maamuzi tofauti ni kwamba yeye haibi hata kidogo. Kwa hiyo anatufaa sana
Ooh my God, bado unaamini hivi kweli kazi ni kubwa maana na wengine kule kijijini wanaamini bila chama cha Nyerere (CCM) hakutakuwepo Tanzania. Yaani vijiimami imani tu. Huku tukiendelea kufail.
HONGERA kikwete, KWA hiyo PhD. tena nawaomba university waangalie uwezekana wa kumpatia mama naye...
Hakika maendeleo hayawezi kuletwa na sisi kama bado tutaendelea kufikiri kiazimio la Arusha. We need technology, skills, and networking with the rest of the world, Rais wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete anayafahamu hayo na ndiyo mana hawezi kuendelea kuzubaa hapo Magogoni. Anatafuta kutuunganisha...
Hongera sana Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hiyo PhD. hakika unastahili.
Wazungu walisafiri kote duniani wakaleta maendeleo Europe. Tunashuhudia maendeleo makubwa hivi sasa ikiwa ni pamoja na ongezeko la waTZ wanaopata nafasi za masomo nje ya nchi.China, UK, United State, India ziko kibao...
Ndugu yangu sikukatishi tamaa katika kutetea aina hii ya muungano, ambao hakuna hata sehemu moja ya binadamu wenye akili duniani wanaweza kuuafiki. Lakini pia nakutahadharisha kuwa ipo haja hata sisi wa Newala kuanza kuhoji sababu za kuendelea kuitwa Watanzania au Watanganyika kama kila kitu...
Nadhani kuna tatizo kwa ndugu yangu huyu. Nakumbuka hata uchangiaji wake kwenye suala la msaada wa Gadaff kwa waathirika wa mafuriko Kilosa haukuwa wa kawaida. Kaka inakuwaje lakini mbona unatoa adhabu kali kwa binadamu wenzako?
Binafsi huwa sioni kama kuna tatizo kubwa la kuweza kuondoa sifa anazostahili kuzipata mzee Kawawa. Cha msingi ni kwamba alithubutu kutenda kwa maslahi ya wengi si kwa maslahi yake binafsi kama tunavyoona yanayotendeka kwa viongozi wetu wa sasa. Kama pesa zilikopwa kwa shughuli za kichama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.