Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Mfunyukuzi of course
Nani Aliogoze Taifa Kikwete Akiamua Kung'atuka?
1. E. Lowassa,
2. B. Membe,
3. J. Magufuli,
4. J. Mashaka,
5. S. A. Salim,
6. R. Aziz,
7. J. Shibuda,
8. R. Mengi,
9. L. Masha,
10. Dr. H. Shayo,
11. M. Pinda,
12. Dr. US Blogger,
13. A. Kilango,
14. Dr. B. Buriani,
15. M. Dewji,
16. M. Mwandosya,
17. I. Lipumba,
18. Z. Kabwe,
19. H. Mwakyembe,
20. Vijisenti,
21. J. Cheyo,
22. R. Paulsen,
23. C. Mtikila,
24. J. Malecela,
25. Dr. Kimei,
26. Dr. S. Kawambwa,
27. P. Nalitolela,
28. Dr. Slaa.
29. B.W.Mkapa,
30. F. Sumaye,
31. J. Warioba,
32. Mch. Kakobe,
33. J. Shibuda,
34. P. Msekwa,
35. A. Makinda,
36. S. Sitta,
37. Mch. G. Rwakatare,
38. A.H. Mwinyi,
39. Madaraka Nyerere,
40. Kingunge,
41. Seif Khatib,
42. Dr. H. Mwinyi,
43. M. Bomani,
44 .R, Kikwete,
45. J.Makamba,
46. Jerry Muro,
47. M.M.Mwanakijiji
Gosh!!...... andaeni na wheel chair ya kumpelekea ikulu! naishiwa nguvu ghaflaKingunge Ngombale Mwiru.
Huyu ni kiongozi mzuri sana, tatizo jina! Watani wake fulani niliwasikia mitaani wakitamka jina lake 'Shukuru Kawa Mbwa'. Hebu fikiri wapinzani wake wa kisiasa wakjidai nao ni watani, wakawa wanasema "Shukuru kawa nani?" kila jina la Mtukukufu Rais Kawambwa linapotajwa, huoni hio itahatarisha hali ya amani, umoja, ushirikiano na mshikamano, vilivyojengwa kwa karne nyingi hapa nchini!? Wachora katuni nao wakijumuika kumchora kageuka mbwa, patachimbika!26. Dr. S. Kawambwa
[/color]
hawa watu uliowaorodhesha hapa ni kina nani na kwa nini unadhani wanastahili kuwa kwenye orodha ya watu ambao wanaweza kuendesha nchi hii. Mimi nadhani yeyote anaweza kuongoza as long as amechaguliwa na wananchi... Hapa tanzania yeyote anaweza kuwa rais hata mie naweza! Hii orodha imekusanya hata machizi, ghosts, n.k. Imenitia kichefuchefu kwa kweli