Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.
Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"
Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.
Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Salaam!
Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable,
Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome?
1. Truck Mechanics
2. Heavy Duty Mechanics
3. Electronics
4. Machine Tool Maintenance
5...
Nimepangiwa Kituo kipya cha kazi kilichopo umbali wa kilomita mbili toka kituo cha kwanza.
Nilipoomba kulipwa Gharama za usumbufu wa kuhamisha makazi, Nikaambiwa Sistahili.
Je, ni sahihi au laa? Pia mwenye Waraka wa Uhamisho wa mwaka 2018 naomba tafadhali
Salaaam!
Anaomba ushauri wenu course ipi aisome kati ya:
Bachelor of science in library and information management,
Au
Bachelor of Public Administration in Record and Achieves Management....?
Anasoma ushauri wenu.....
Niliwahi kwenda kwenye taasisi fulani nikaona the way Pre form One wanafundishwa aisee nilikua exited sanaa......
Vitoto vinafundishwa sensitive issues mpaka unapenda...
1. Tips of good hand writing
2. Matumizi sahihi ya muda
3. Proper way of dressing
4. Nidhamu na Uwajibikaji
5. Kuheshimiana na...
Mtoa mada ana hoja....! Ni sahihi kuwa Watoto wanatakiwa kupata Break ya kutuliza akili Lakini iwe Chini ya Uangalizi madhubuti wa Mzazi/Mlezi
Tunatakiwa pia kujua kuwa zama hizi sio zile za kwetu,
Hawa watoto wa kileo ukimuacha uraiani atulize akili anapotea jumla kitaaluma....
Michezo mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.