Je, nastahili kulipwa Disturbance Allowance?

Je, nastahili kulipwa Disturbance Allowance?

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
399
Nimepangiwa Kituo kipya cha kazi kilichopo umbali wa kilomita mbili toka kituo cha kwanza.

Nilipoomba kulipwa Gharama za usumbufu wa kuhamisha makazi, Nikaambiwa Sistahili.

Je, ni sahihi au laa? Pia mwenye Waraka wa Uhamisho wa mwaka 2018 naomba tafadhali
 
Hilo siyo suala la kujadili kabisa.Your entitled kupata d alllwance.Ni haki yako na lipo wazi kabisa.Andika barua,wasilisha haraka sana.
Ila tatizo la serikalini.Kama unafanya kazi local govt,hiyo hela utalipwa baada ya miaka mitatu au minne au ukistafu kabisa.Local govt ni mtoto wa kambo,serikali huwa haiwapi kipaumbele kabisa,inawachukulia kama wakimbizi.Ila ungekuwa unafanya kazi kwenye agencues za serikali au serikali kuu au wizarani.Unaliowa kabla ya kuhama kabisa.
 
Back
Top Bottom