mm ndiye niliyeandika hii thread " kwa kupata loan naipigia CCM kura " watu waliwaka na mm wengine walinitukana na wenye busara walinielewesha kuwa loan ni haki yangu.....NAIFUTA kauli yangu...ilikuwa furaha 2 kupata loan coz course zangu zilikuwa NON PRIORITY ..
hivi wakuu ...field za ifm n mwka wa kwaza na wapili...swali langu ni kwamba. tutacalculate vp %..??? nina 3392500...
field tutapewa na cc pesa?
kwa anayejua plz..
nina wasiwasi kidogo na IFM....kwnye joining instruction yao cjaona wakiizungumzia HESLB... cha msingi tuende na 1050000 kuwasikilizia kwanza na pia kama 400000 ya chumba na bado hela ya meals tukiwa tunasubiria BOOM....
na pia bado cjaelewa kama hela tulizopewa kuna field ndan yke coz pale...
Wanawaponda waandishi wa habar kwa kupotosha watu kuwa kuna mgao wa Umeme....
hili swala ni kwel kuna mgao wa chini chini ...eti wanasema wanabadilisha nguzo...inakuingia akilini umeme kukatwa saa 6 usiku???? nguzo gani wanabadilisha usiku???
MJUMBE AUWAWI....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.