Kila kozi ina field sema wengine wanayo kuanzia first yr, wengne kuanzia 2nd yr na wengne third yr. Kwa sasa pesa ya field ni flat yaan haitolewi kwa %. Kila mtu atapata kiwango sawa regardles of his loan%
Wakubwa mnisaidie hivi nna field mwaka wa kwanza, bachelor of engineering in civil engineering