Loan % | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loan %

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiparaa, Oct 2, 2012.

 1. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba mnisaidie ku kokotoa % nimepatiwa 3643500 ada 1020000 course Comp. Eng je hiyo ni % ngapi?
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hujui hesabu au tatizonini??
   
 3. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  calculation ya %interest inategemea yafuatayo:-
  1. Principal amount ya mkopo
  2. Interest expense charged
  3. loan duration

  Kuna formulas mbili maarufu za jinsi ya kukokotoa interest:-
  1. Simple interest formula A= PRT/100 where A= P+I, P= Principal, R = Rate, T= duration ( i.e. years or months)

  2. Compound interest formula

  A = P( 1+R/100)^T

  bank nyingi zinatumia compound interest, nakushauri unapokopa kwenye hizi taasisi tafadhali waombe repayment schedule na uitazame kwa umakini kabla ya kukubali offer yao ya mkopo. hapa watanzania wengi ndio huwa wanaliwa na mwisho wa siku wanajikuta wanalipa riba kubwa mno.

  Taja mkopo wako ni wa muda gani na nitajaribu kukokotoa riba kwa formula zote mbili hapo juu.

  [​IMG]
   
 4. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kuuliza c ujinga broo
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  acha uvivu wa kuandika wewe c ndo nini hicho? kuuliza sio ujinga lakini angalia na chaluuliza siamini kwa mwanafunzi anae kwenda kusoma computer engineering ashindwe kufanya hesabu ndogo za kutoa,kujumlisha, kugawanya na kuzidisha eti umemaliza form six hebu acha kudhalilisha elimu yetu, jukwaani kumejaa nyuzi kibao zinazo elezea namna ya kokotoa hizo % tuseme huzioni au tatizo ni nini??
  hebu kua msomi japo kwa muda, ona hata aibu kwa mwanafunzi ulie soma Mathematics A-Level unauliza swali kama hili?? sio siri umenihizunisha sana, hapo unategemea uwe engineer kweli?? eee Mungu tusaidie taifa hili maana hii inahuzunisha sana.

  SAMAHANI KAMA NIMEKUKOSEA MKUU.
   
 6. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  najarib kukuheshimu lkn naona inashindikana, wakati mwingine jaribu kuchangia jambo kwa mawazo kutoka ktk 'kichwa' na c 'makalio' kama ufanyavyo sasa, na pia kama huna msaada juu ya hoja/mada iliyotolewa ni vyema ukapiga kimya, wakati mwingine itakugharimu. . . Samahani lakini
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mkuu umejiuliza ni kwa nini mpaka sasa hakuna aliye kupatia calculation ya moja kwa moja?? okay isiwe tabu mkuu, ushindi wako subiri wachangiaji wengine waje.
   
 8. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nashkuru mchango wa investa umetosha. . . Mchana mwema
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Makubwa haya!
   
 10. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  makubwa vp mkuu? au unataka ile ya %Interest= Interest expense/ Loan amount
  kama nikitumia hii napata 28% lakini ni kazi bure kama hujui duration ya mkopo ili upate ya mwezi au mwaka. Au wewe mkuu una njia mbadala utumwagie hapa jamvini?
   
 11. c

  chamng Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1852500+200000+620000
  utakachokipata
  chukua loan amount yako utoe..itakuwa ada..then % huwez shindwa ku calculate...
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Labda usome tena vizuri swali/issue ya mleta mada halafu uone kama jibu ulilompa linakidhi! Kama umefuatilia kwa karibu masuala haya ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, issue waliyonayo sio jinsi ya kukokotoa kiwango cha riba (interest) bali ni jinsi ya kujua mkopo alioupata ni asilimia ngapi (kuna wengine ni 100% na wengine chini ya hapo kwa viwango vya % tofautitofauti), ndio maana unaona amekwambia kiwango cha ada ya kozi yake na jumla ya mkopo aliopewa.

  Kwa kifupi, HESLB waliorodhosha majina ya wanafunzi iliyowapa mkopo na kiasi cha mkopo bila ya kutoa uchanganuzi mkopo huo una cover vitu gani (ada?,accomodation? meal? Books and stationery? Practical trainings? etc) na kwa kiwango gani.
   
 13. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mhh, wasomi wa miaka hii ni JANGA kwakweli... SAMAHANI LAKINI
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  chaka kubwa sana mkuu yeye anauliza mkopo wa chuo na sio wa kwenye benki na saccos
   
 15. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimerudi tena, Samahani kama nita kuudhi, kama nilivyo sema huto pata msaada kwa style na masomo hayo ni jambo la kushangaza sana,
  :focus:
  chukua 3,643,500
  toa meals & Accommodation (1,837,500)
  3,643,500-1,837,500=1,806,000
  toa stationary (200,000)
  1,806,000-200,000=1,606,000
  kwasababu hufahamu pesa ya Special Faculty Requirements ni Tsh ngapi, na kwasababu ada na field vyote hutegemea % itakua vigumu kutambua umepata % ngapi,
  kwa mathematics prediction ni kama 80% au 90%.(HONGERA)
  nakushauri subiri mchanganuo wa mikopo kutoka chuoni kwa uhakika zaidi.
  SIKU NJEMA
   
 16. a

  anne R mushi Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  n vyema tukawa na subra watoe wenyew na c hawa wanaobahatsha huku koz iyo amount ya meals&accmdatn naona mawazo tofautitofaut...
   
 17. a

  anne R mushi Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuendelee kusubiri watoe wenyewe na c kuambiwa na hawa wanaobahatisha huku
   
 18. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ungetuliza 'kijambio' nimeshapata kiasi cha % niliyopatiwa. . . .SAMAHANI LAKINI
   
 19. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Duh kweli nimeingia chaka, sikusoma between lines. Mtoa pls ignore my previous post .............mkopo wa chuo nadhani unategemea pia na chuo chenyewe.
   
 20. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  yah nshapata solution
   
Loading...