Recent content by chamlungu

  1. chamlungu

    Kisheria, nini kitafanyika iwapo Tundu Lissu ataendelea kukataa "kutokea kwenye mahakama mtandao" ili kujibu mashitaka kesi yake yanayomkabili?

    Tatizo lako na wengine ni kuzichanganya hizi kesi na kuiona kama moja au zinazoenda sambamba. Hizo ni kesi mbili tofauti. Kesi ya uchochezi ina dhamana , na Lissu amedhaminiwa. Sasa kama mtu amedhaminiwa anasikilizaje kesi yake kwa mtandao? Kesi ya uhaini haina shamans, hii sasa unaweza...
  2. chamlungu

    Kwanini Mwenyekiti wa Vilabu African Eng. Hersi hajatoa pongezi kwa Simba hadi sasa?

    Kwa wadhifa wake anatakiwa kuipongeza timu itakayokuwa bingwa ,siyo iliyofika fainali
  3. chamlungu

    Mgao ujao wa umeme…

    Sawa, tusubiri
  4. chamlungu

    Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Yaani mwenyewe umekaa umefikiri weee ukaona hili ndiyo bonge la issue la kutuambia. Kweli we kiazi
  5. chamlungu

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Acha uongo, Mzee Mkono amesimamia kesi gani hapa Tanzania na kushinda?
  6. chamlungu

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Unaweza kutibiwa kwa ruhusa maalum
  7. chamlungu

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Na atakuuwa kweli, we endelea kulialia hapa
  8. chamlungu

    Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    WALAKTA L'JINNA WAL INSSA ILAL' YABUDUUNA(Sikuwaumba majini na wanadamu ila kuniabudu)- Quran Kareem. Hilo ndiyo lengo mama
  9. chamlungu

    Usijisumbue kuonyesha ufundi, kama hana amani ya moyo ni lazima uchapiwe tu

    Ni vigumu kujua wanawake wanataka nini kwa sababu hata wenyewe hawajui nini wanataka
  10. chamlungu

    Yaani kugegeda vimanzi vivaa ndala za manyoya na vibegi mgongoni ni kisanga tu

    Kaka umenena ukweli mtu. Nilishakabeba kamoja, nikaingua nacho hotelini. Kufika kikaniomba kuna tamthlia anaomba aangalie Kwanza, kama saa 4 usiku. Nimeshapiga maji Mzee, nikaegesha, usingizi ukanipitia. Kushtuka saa 6 usiku. Wife missed call kama Mia! Nikasepa bila Kula mzigo
  11. chamlungu

    Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa kushiriki Tendo la Ndoa na Bwana Harusi Mtarajiwa

    Najiuliza tu kama una watoto wanane wa kike , halafu shangazi ni mmoja. Endapo wote watachumbiwa, sijui itakuaje kwa shangazi
  12. chamlungu

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Kama huna nywele au una kipara, unachana nini au unafanyaje?
  13. chamlungu

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Ipo eneo la Makumbusho, imepakana na kijiji cha Makumbusho upande wa kushoto ukiwa unaelekea eneo la Victoria. Ni kwa ajili ya viongozi na maofisa usalama na familia zao, ingawa nasikia wenye bima wanatibiwa. Ni hospitali nzuri kwa maana ya huduma, vifaa na utaalamu. Inamilikiwa na serikali...
Back
Top Bottom