Tuhuma dhidi ya Mbowe zapaswa kujibiwa na Mbowe mwenyewe name si msemaji was chama. Yeye pekee indie anayejua kilichotokea I we mafichoni ama hadharani.
Hizi ni dalili za mfa maji. Nyerere aliwahi husema ukiona mwanasiasa anakimbilia udini ana ukabila ili kuhalalalisha jambo ujue amefilisika kisiasa. Mzee Msekwa amefika wakati aendeakapumzike ili abaki na heshima kidogo aliyo nayo kwa Watanzania. Na huyo ndie anaemekana kuwa mmoja kati ya...
Siku zote nilikuwa najua kuwa Mh. Ndugai ana uwezomdigo wa kujengahoja na kuwasilisha hoja. Lakini sikujua uwezo wake ni mdogo kiasi hiki. Inakuwaje mtu anaetetea hoja ya kutaka uwakilishi mpana bungeni usiozingatia itikadi awe na ajenda ya kutetea mamlaka ya chama chake kama kambi rasmi ya...
Kazi nzuri sana. Inavyoelekea UVCCM wanajaribu kufanya yale yaliyofanywa na waanzilishi wao. Lakini ni vizuri wakatambua kuwa nyakati zimebadilika. Sasa Watanzania hususan vijana wanajitambua na kujua haki zao. Jaribio lolote la kujaribu kufifisha ukweli huo ni kama kujaribu kugeuza mtiririko wa...
Wakati wote penye ukweli uongo hujitenga. Kama ilivyo mafuta kueleaa juu ya maji kwa bahati mbaya kati ya ukweli na uongo uongo saa zote huelea juu ya ya ukweli kwa hiyo huchelewa kujitokeza. Muda na subira ndivyo vitakavyoibua ukweli. Wapenda haki muwe na subira ukweli utadhihirika
Kwanza atueleze hela hizo anazotoa kwenye hadhira mbalimbali za kuchangisha pesa anazitoa wapi. Hao rafiki zake anaodai ndio wanampa hizo pesa ni kina nani?. Wao wanashindwa nini kujitokeza na kujitangaza wenyewe badala ya kumtumia yeye?
Haya ni mawazo ya wazanzibari, serikali ya Zanzibar au ya maalim Seif binafsi? Ni wazi kuwa mapatano ya CCM na CUF ni kama ya mbwa na paka wanyama wasopatana labda pale wanapolazimika kwa kufugwa na bwana mmoja-serikali ya maridhiano. Bwana akioteza uhai watarudia tena kuparurana kucha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.