CHADEMA, huyu aweza kuwasaidia kesi ya Igunga!

CHADEMA, huyu aweza kuwasaidia kesi ya Igunga!

Mzee Tupatupa mi nilidhani hii ingekuwa siri ya kesi na ingetokea kama supprise, sasa kwa kuliexpose humu sio supprise tena na jamaa watajipanga kuhujumu! Better ungefanya ushauli kwa meseji binafsi kuliko humu, manaake humu hata shetani hupitiapitia!
Kama mpaka mshauri mkuu wa Chadema Kitila Mkumbo ushauri wake kwa chama anauleta hapa JF sasa unashangaa nini kwa Mzee tupatupa?
 
Alisema kuwa Tesha-wa-Igunga amemwagiwa tindikali nawana-CCM wenzake ambao aliwadhulumu pesa zao za posho ya kampeni. Kijana huyu atafutwe,alindwe na atumike kama shahidi. Kwa wafuatiliaji wa Igunga watakubaliana nami kuwa wakati wa kampeni filamu ilianza kutengenezwa. Ikadaiwa kuwa CHADEMA walivamia nyumba fulani na kuiteketeza kwa moto. Cha kushangaza,viliungua vitu vyote pamoja na nyumba husika lakini kuna kitu kikabaki.

Ni kitu kilichotarajiwa kuungua mapema kuliko vingine.Karatasi. Eti, ilibaki karatasi (kipeperushi) kilichodai kuandikwa kwa tambo na CHADEMA kuwa wao ndio waliochoma nyumba hiyo. Ngumu kuamini.


Home of GREAT THINKERS
 
Wakati wote penye ukweli uongo hujitenga. Kama ilivyo mafuta kueleaa juu ya maji kwa bahati mbaya kati ya ukweli na uongo uongo saa zote huelea juu ya ya ukweli kwa hiyo huchelewa kujitokeza. Muda na subira ndivyo vitakavyoibua ukweli. Wapenda haki muwe na subira ukweli utadhihirika
 
Hiki kitendo kinauma sana,huyu ni Mtanzania mwezetu,tena rangi yetu na usikute kabila moja na wewe ama mimi tena anatokea ulikotoka wewe na yeye ana familia yake inayomtegemea kwa kila kitu,leo unamtendea hivi kisa madaraka? afu mkifa kwa shinikizo la damu mnataka watu WATOE POLE KWA NIDHAMU?

kwa style hii,sihitaji kunufaika na rasilimali za Taifa hili,atanufaika mjukuu wangu,nauza uhai wangu kwa ajili ya kizazi cha kesho.siogopi kufanya kazi ya chama changu popote pale,mda wowote ule and @ any cost
 
p AWEDA NA BONIFAFAACE MAKENE DAKENI HII IFANYIENI KAZI
 
kwani ile video siitakuwepo humu kwenye server ya jf watuweke hapa tuione
 
rapherl; asante sana mzee tupatupa kwa wazo hili jema.

Wasalimie lumumba hapo hasa ritz ukibaatika kumuona wakati anakuja kuchukua posho yake!

hahahahhahahahahahhhaaa nmecheka saaaaaaaaaaaana sku yangu imeisha vzuri saaaaana no streeeeees penye red pamenfurahsha
 
It's very true huyu mtu ni muhimu sana, naamini Prof Safari atapita hapa aone uwezekano. Pamoja na kwamba CCM wanajulikana kwa kutengeneza matukio kama ambavyo wameingiza Tishet na kofia za M4C bado inatakiwa kuwa na ushahidi ili kuwaumbua jambo ambalo naamin CHADEMA wanalifanyia kazi,,,,

Jamani hata wafanyeje 2015 CCM hawaoni ndani,,,tujiandae kisaikolojia kupokea ukombozi wa pili kupitia CHADEMA mwaka 2015 si mbali...Ahsante sana mzee tupatupa wa lumumba

Nyie ndiyo wale msiozishughulisha akili zenu.
 
Musa tesha ana rafiki yake wa karibu sana , kila akimuliza anasema waliomwagiya tindi kali ni vijana wenzake waliokua wana fanya nao kazi, haya yote ya na saba bishwa na ccm waki taka kuizorofisha cdm na yeye yuko kimaslahi.
 
Mzee Tupatupa mi nilidhani hii ingekuwa siri ya kesi na ingetokea kama supprise, sasa kwa kuliexpose humu sio supprise tena na jamaa watajipanga kuhujumu! Better ungefanya ushauli kwa meseji binafsi kuliko humu, manaake humu hata shetani hupitiapitia!

Japo hili suala ni la huzuni ila hapo kwa shetani pamenichekesha sn
 
Natumaini wameupata! Vita ni vita ndg zangu! Tusonge mbele makwazo ni mengi
 
kwa wasio ifahamu vizuri mahakama ni kuwa ni chombo kilicho uhuru sna hakiingiliwi kabisa na kinafanya kazi zake kwa weledi mkubwa sana swala la ugaidi katika nchi yetu ni jipya ni dhahili pia hata waendesha mashitaka wanatakiwa kujipanga sana ili kudhibitisha shitaka hili vinginevyo hapana shaka lolote benefit of doubt ndo mtaji wa hao makamanda na niwaambie hata ushahidi upikwe vipi kama ni wa uongo.utashihili na kama ni wa ukweli utadhihili pia la msingi tuiache mahakama ifanye kazi yake ila ni vema kwa mwenye ushahidi na hili akaenda kuutoa bila hofu maana utawala wa sheria ni lzma usimamiwe na watu wenye ujasiri kwa kuwa siku zote serikali zote duniani ujitahidi kutamka utawala bora mdomoni lakini moyoni ni uongo tu lengo ni kulinda interest zao watawala lkn ujasiri pekee ndo uwezao kushinda hizo hila na hatimaye misingi ya utawala bora kujengwa kisha demokrasia kustawi.
 
Mzee Tupatupa mi nilidhani hii ingekuwa siri ya kesi na ingetokea kama supprise, sasa kwa kuliexpose humu sio supprise tena na jamaa watajipanga kuhujumu! Better ungefanya ushauli kwa meseji binafsi kuliko humu, manaake humu hata shetani hupitiapitia!

Wazo lako ni zuri, lakini kutoa wazi hivi ni vizuri zaidi ili hata hao wanaofanya vitu wakizani ni gizani kumbe ni mchana na yanaonekana na kufahamika.
Njia hii ni nzuri sana kwa kuwaelimisha wahusika kuwa hujuma zao zote ziko wazi.
Mungu akubariki Mzee tupa tupa (VUTA-NKUVUTE) kwani wewe inaonesha ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki ndani ya CCM.
 
Musa tesha ana rafiki yake wa karibu sana , kila akimuliza anasema waliomwagiya tindi kali ni vijana wenzake waliokua wana fanya nao kazi, haya yote ya na saba bishwa na ccm waki taka kuizorofisha cdm na yeye yuko kimaslahi.

Musa Tesha ni mchaga masikini, anatafuta namna ya kupata awe kama wachaga wenzake, lakini kiukweli anajua moyoni mwake kwamba kuna siku deal litagota. Ccm watamtupa kama mavi ya mbuzi/ ng'ombe kwenye shimo, na hapo ndipo atakapoijua ccmna mwigulu
 
Back
Top Bottom