Zitto: Mshikamano au Uvumilivu?

Zitto: Mshikamano au Uvumilivu?

Itafika mahali SERIKALI itachoka na huu upuuzi wa MBOWE.

unafikiri kwa kutumia vikalio vyako...sio kosa lako....angekuwa anaupuuz asinge muongoza huyo zitto swn wewe
 
Atangaze kuichukua fomu si sahihi kwa maana moja tu! Akichukua na akawa ndiye mgombea pekee wa CDM .... CCM wakiweka pingamizi ya umri wa mgombea ndio itakua mwisho wa CDM ktk uchaguzi huo ... wengi nje ya CDM mnapenda sana kumkweza Zitto na sijui kwanini amekua kipenzi wa wanaCCM .... Leo nimepata picha kumbe wanafahamu ili kuiondoa CDM kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015
ni kuhadaa ulazima wa CDM kumteua Zitto kwa kila mbinu hata ukabila ili wanaCDM waamini hivyo na kumteua Zitto...!
unapayuka bure dada mayasa,,, kwani CDM kuna anaestahili kugombea uraisi 2015,, hebu mtaje tumsikie????
mbona 2015 mchezo umeshaisha!!!! galagabaho
 
Ver truly indeedly, Kweli Zitto wewe ni Kamanda hasa.
 
Last edited by a moderator:
Bila ya kuangalia chama,kabila wala dini ujumbe wenye kuedeleza jamii ni lazima usemwe hata kama unauma. Zito anachosema ni sahihi ila kwa serikali yetu hadi litokee jambo ndio tunachukua hatua. Kumbusheni maana ukumbusho huwafaa wenye kusikia. - Zitto Sema no matter what daima tutakua nyuma yako bila ya uangalia chama wala itikadi zozote.:yield:
 
Kwa bahati mbaya watu wenye fikra zenye maono kama hizi ni wachache. Walio nazo wana uwezo mdogo wa kuzitafutia njia ya kuzitekeleza.
 
Mshikamano au Uvumilivu? Hata msingi wa uvumilivu sasa una nyufa.
From Harmony to tolerance towards tension - political and religious. Sooner than later tribal. A nation in reverse gear..... Someone must put a stop. YOU

Zitto

This someone must be Kikwete, only Rais Kikwete!!
 
kuna vijana ni janga la taifa kama huyu HAMMY D na MINGOI
 
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
Hiii ndio haswa anayoisema Zitto.
Akili ndogo kama zako haziwezi kuelewa.
The only reason you think Zitto is soo good is because he is Muslim.
That is the stupidest reason ever, from the stupidest being ever to live in Tanganyika.
 
Back
Top Bottom