Nmetembelea blog yenu nmehamasika km ni kweli mnafanya hayo na co kuvutia biashara,mm nmeweka kuku nyumban ila sifugi,kupitia bandiko hili nmehamasika kufuga.,naomba mnijibu haya;vifaranga bei gan na mnaanzia wangap?inachukua mda gan kuvipata tangu nilipoweka oda?kwa mm ambae siko dar iyo elimu...
Ukitaka ugomvi na hawa watu waulize wanapofanyia hicho walichokiandika,kitu ambacho hawajui kilimo ni vitendo sio nadharia,hayo manadharia yamejaa huko google,youtube n.k.
Niishie tu kusema asante,kwasababu siwezi kueleza jinsi ulivonigusa,nmejifunza kitu kikubwa sana,kwangu huu ni uzi bora kuliko nyuzi zote nilizosoma JF 2017,keep it up brother.
We dogo mtoa mada kwanza omba radhi,ndo tuendelee kuchangia,coz hayo ni maneno ya babu yako co ya wanajeshi,yy kuwa mwanajeshi,haimaanishi ni msemaji wa jeshi.uwe na na adabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.