Uchambuzi wako ni wa kweli100%. Dogo ana speed kali sana lakini mipira mingi inapotea kwa sababu anatumia mguu mmoja. Na upande wa kulia hakuna mshambuliaji mwenye kasi kama yeye. Mipira mingi inapelekwa kwake na inakuwa mfu. MGUNDA AAMBIWE HILI.
Kujamba si dhambi. Wala Padre hakutakiwa kuingilia kujamba kwako. Wote mliacha ya Ibada ya Maungamo ambalo ni swala la Kiroho na Kujikita katika Baolojia ya Mwili. Wote Mmtenda dhambi ya kufanya Maungamo Sanaa. Wewe nenda kaungame upya. Padre imekula kwakwe. Anatakiwa atafute padre mwengine ili...
Kumbuka tu kuwa TARURA ni TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY. Kuwa inajumuisha na barabara za mijini, manispaa na majiji. BARABARA ZA TANROADS zina bajeti kubwa kwa sababu zinapitisha magari mengi na mizigo mizito. Sasa baada ya Elimu Hii Jenga upya hoja yako wataalam waweze kuchangia.
Ambapo kwa sasa hakuna Bunge na Mahakama bali kuna Serikali na Mawakala wake wanaoitwa Bunge na Mahakama. Hivyo Katiba iliyopo pamoja na mapungufu yake, hailindwi kwa sababu ulinzi wa Katiba unatokana na Bunge Huru, Mahakama Huru, na Wananchi Huru. Bila Uhuru huu hakuna Uzingatiaji wa Katiba...
Siyo lazima. Kurithisha ni hiari ya mmiliki wa mali. Ipo mifano mingi inayoonesha mmiliki wa mali ana uhuru wa kugawa mali yake anavyotaka. Wewe badala ya kushughulikia mahusiano mema na mzazi wako, takwa la kidini, unashughulikia urithi. Umekosea. Na kwa Mungu umelaanika. Maana Umeshindwa...
Ndipo Tunapodhihirisha kuwa wanasiasa wengi wa Tanzania [emoji1241] ni wachumia Tumbo tu. Hawana itikadi wala nia ya kuwakilisha wananchi na kuleta maendeleo kidemokrasia, kwa haki na kwa utawala bora. Hata hivyo wapo wachache wenye nia thabiti ya mageuzi. Vita itaendelea tu. Na wananchi...
SPIKA Amesema Perdiem. Yani posho ya kujikimu ukiwa nje ya kituo chako cha kazi. Hata Serikalini, mtumishi hawezi kusafiri bila kulipwa posho ya kujikimu nje ya KITUO cha kazi. Siyo SITTING ALLOWANCE au posho ya kuhudhuria kikao. Perdiem hulipwa kabla ya safari ili mtumishi akatekeleze jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.