Recent content by chamalee

  1. chamalee

    Manji kumkataa Wakili Kibatala 'kwa sababu za kisiasa', ametishwa na nani?

    Kwani wale Mawakili wa Manji wanaotoka Uingereza wanakujaga kwa ndege ya kukodi wapo wapi!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. chamalee

    Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Embu Muulize Mange atakujibu kwa Ufasaha baadae ktk Page yake ya Instagram hakuna asilolijua khs hapa home
  3. chamalee

    Nani Alikuwa mmiliki wa Vituo hivi CTN, DTV na CEN, Nini kilim/wakuta?

    DTV,Channel10,CTN na CEN miaka ya 90 kuanzishwa kwake mpk kuja kuuzwa kwake miaka ya2000 hivyo vituo vilikuwa chini ya Mhindi Mmoja anaitwa Ramesh Patel
  4. chamalee

    Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

    Wewe ndio wale watu Yesu aliokuwa akiwasema,sasa umebakiza moja tu ili uende mbinguni nusu nyingine ya mshahara wako kawatolee Maskini
  5. chamalee

    Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

    Mbona nasikia wanachama wanataka kumpa timu Mengi na Devis Mosha hivi hizi habari zina ukweli!!!
  6. chamalee

    Tecno boom J8, Msaada!

    Umenunua simu Mlimani City mnapopaamini ukapewa Simu fake touch inasumbua,mimi nimenunua Boom J8 Tunduma boda mwezi wa 5 sasa simu wala haina tatizo ipo safiii mi na touch tu
  7. chamalee

    Amebarikiwa yule aliye na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano

    Nimeshajua nn kilichochangia kumpoteza Mwanaume wa kariba hiyo pole sana
  8. chamalee

    Juliana Shonza, tueleze kama CCM umefuata siasa au unafiki?

    Niliwahi kuambiwa na Mama yangu mzazi Mwanamke anayejichubua kwa kutafuta weupe wa kutumia cream mara nyingi uwa wanaathirika kiakili sometym like Mad
  9. chamalee

    Wacha We.............Mnyalu Akilazimisha Mambo

    Hahaha hiyo ilikuwa siku ya kuupokea Mwenge Mkoa wa Songwe ktk wilaya ya Songwe Mkwajuni ilikuwa trh1/6/2016
  10. chamalee

    Huyu mama mkwe simuelewi

    Naona upo njia panda kigogo unakimbilia kupata laana kwa tamaa za kijinga
  11. chamalee

    Dar: Mkurugenzi wa Jiji amtumbua mkuu wa manunuzi kwa kujiingizia Ths. 400,000 za wizi kila siku

    Kwa kilichotokea na kushutumiwa kuna ukweli Maamuzi aliyoyafanya Mkurugenzi ni Sahihi namuunga mkono mleta taarifa
  12. chamalee

    Tuliosoma St. Kayumba unakumbuka haya?

    Amesahau kwa tuliosoma shule za Kayumba mjini eti hela ya nauli shilingi kumi unaificha ktk kiatu chako ili usiile
  13. chamalee

    Nilibambikwa mtoto miaka 20 iliyopita

    Daah hizi story za wake zetu kutupachikia watoto nizisikiapo nakosa amani,kwangu sioni mapenzi ata punje kutoka kwa mke wangu manyanyaso meng ndan ya ndoa leo mke wangu kajifungua ana mtoto hata mimi inanipa hofu juu ya huyu mwanangu smtym nasemaga mungu ndiye anajua ila nasema kuna dhambi wkt...
Back
Top Bottom