Recent content by Chaliiako

  1. C

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Since day 01 I had faith in u brother.....No matter what people say or circumstances that u face, I pray to God that we may not loose our focus....Let's be bold and fight till the end, it will all be worthy, "Together we can".......I truly appreciate your tireless efforts Ontario. Sent using...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Pole sana boss....Mungu akufanyie wepesi, ikawe kheri kwako brother.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Ontario big up brother....keep on fighting, we are praying for you and may God be with u in all struggles...Nilikuwa nakubaliana na wazo lako la kufanya mpango wa kutoa hardcopy ili wale walio dsm waweze kuwa na access na kitabu hicho ktk stationery au sehemu ambayo itakuwa accessible kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wazo zuri boss....Reading is power....let's exploit much knowledge as we can..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Rafiki yangu Ontario pole na majukumu, naamini Mungu anakutia nguvu katika yote..Changamoto zipo nyingi sana hasa katika kuanzisha jambo hili ambalo lina ugeni kwa watanzania wengi naamini polepole watu tutapata uelewa mzuri juu ya kazi hii..... Pia naomba nitoe pendekezo langu, kama ungeweza...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Ontario shukrani sana kwa kutujulisha juu ya biashara kubwa kama hii....Love is sharing,Ahsante sana kwa Uzi huu,naamini tutakuwa pamoja zaidi..
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua changamoto za kufunga Turbocharger kwenye gari

    Turbocharger ni nzuri sana kwa gari zenye kwenda safari ndefu za Mara kwa Mara au mashindano (Rally).Turbocharger inaongeza engine performance kwa kuwa inawezesha hewa ya ziada kuingia ndani ya cylinder kwa ajili ya kuchoma mafuta. Vizuri, uchomaji mzuri wa mafuta huzalisha power nzuri...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rav 4 new model vs Vanguard

    Kwa uimara na isifu zaidi Rav 4.....about fuel consumption zote zinakaribiana
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu gari ya kununua

    Unapotaka kununua gari ni vyema kuzingatia yafuatayo; 1: Una nunua gari litumike kwa matumizi gani,labda matumizi ya kifamilia...kibiashara....kioffice..etc 2: Una fedha kiasi gani 3: Unatumia gari hilo katika mazingira yapi 4: Unataka gari lenye sifa zipi;mfano body type...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata materials za vyuo mbalimbali

    Uko course gan?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu anatakiwa kufanya mtihani wa TOEFL

    Mwambie aende pale British Council maeneo ya posta.,Atapata maelekezo yote..
  12. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa uma kutoka serikali ya wanafunzi UDSM

    Tunawaamini viongozi wetu wa wanafunzi.....jitahidi kadri iwezekanavyo tuidai haki yetu ya kikatiba kulingana na mkataba tuliosaini na bodi....Naamini hoja zetu zutasikilizwa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sehemu rahisi ya kupata taarifa kwa waliochaguliwa NIT

    Mkuu andika io link vizuri watu waweze kuaccess
Back
Top Bottom