Vanguard ni upragraded version ya Rav4, yaani unaweza kusema ni rav4 yenye body kubwa. utofauti upo kidodo sana, rav4 yenye body ndogo kabisa na size ya injini ndogo inaitwa Toyota Rush, halafu rav 4 yenyewe ni size ya kati, ikifuatiwa na Vanduard size kubwa body na Injin, ukiiangalia kwa ndani vanguard na rav4 toleo la 2009 hazina utofauti wowote ule,kila kitu kiko sawaRav 4 na vanguard hazifanani kweli jaman??
Ha ha ha. Ndugu yangu Vanguard na RAV4 generation ya 4 na ya 5 zote ni sawa kabisa. Ila kiuhalisia Vanguard ni unique zaidi. Na ilitengenezwa kwa soko la US.Acha kufananisha rav 4 na vitu vya kijinga
Walichokosea ni kuwa Vanguard hakuna spare tire. Ndiyo maana jamaa yangu akanunua mlango wa Rv4 new modelVanguard ni upragraded version ya Rav4, yaani unaweza kusema ni rav4 yenye body kubwa. utofauti upo kidodo sana, rav4 yenye body ndogo kabisa na size ya injini ndogo inaitwa Toyota Rush, halafu rav 4 yenyewe ni size ya kati, ikifuatiwa na Vanduard size kubwa body na Injin, ukiiangalia kwa ndani vanguard na rav4 toleo la 2009 hazina utofauti wowote ule,kila kitu kiko sawa
Hivi ukiifunga una kaa bila kufanya modificationWalichokosea ni kuwa Vanguard hakuna spare tire. Ndiyo maana jamaa yangu akanunua mlango wa Rv4 new model
Kakaa ukijua vaguard ni mbadala wa rav 4 kwa mujibu wa toyota!! Wamestop kutengeneza rav 4 nw wame focus kwenye vaguard!!Acha kufananisha rav 4 na vitu vya kijinga
Mm Nina vanguard V6 ENGINE INA spare tire kaka...inategea na version ipi ktk soko kaka. European and US versions zina spare tire brotherWalichokosea ni kuwa Vanguard hakuna spare tire. Ndiyo maana jamaa yangu akanunua mlango wa Rv4 new model
Naipenda van guard aisee.Kati ya RAV 4 NEW model na VANGUARD ipi Iko;
A) imara zaidi
B) economic katika fuel consumption
Hakuna modification mkuu,mlango unafiti sawasawa kabisa. Vanguard hawajaweka slots za nati kuweza spare tairi kukaa mlango wa nyuma. Ila ukubwa na kila kitu ni sawa.Hivi ukiifunga una kaa bila kufanya modification
Acha kufananisha rav 4 na vitu vya kijinga
Ok,sina uhakika sana kwa hilo. Lakini yawezekana. Ila nyingi mlango wake hakuna sehem za kuweka Tairi. Na inatajwa ilifanyika kwa makusudi,kwa maana zina mfumo fulani wa kujaza upepo tairi iliyopata pancha,ila sijafanya utafiti how au kama ni kweli.Mm Nina vanguard V6 ENGINE INA spare tire kaka...inategea na version ipi ktk soko kaka. European and US versions zina spare tire brother