Ipo mkuu 1ggte... i think its easy to swap a G series to another G series engine than a JZ.... ila JZ upate 2JZ afu uwe na mkwanja... hio ni JDM kingcorrection- 1jz-gte
Ipo mkuu 1ggte... i think its easy to swap a G series to another G series engine than a JZ.... ila JZ upate 2JZ afu uwe na mkwanja... hio ni JDM kingcorrection- 1jz-gte
Ni kweli siyo coaster zote kwa mfano huku Mbeya coaster zinazofanya safari ya Kyela kuja na kurudi huku Nanenane (Uyole) karibu zote zina Turbo, kwasababu ya milimasio coaster zote
stock 2jz internals ni 800hp mkuu (reliably) stock 1jz internals ni 600hp (reliably)Wanasema 2jg with stock internals can take 1000hp..... hebu mtafute supra 2jg kwenye youtube uone anavowatoa watu jasho la meno
yeah true, ni stock block ndio inachukua hadi 1000hpstock 2jz internals ni 800hp mkuu (reliably) stock 1jz internals ni 600hp (reliably)
above that jiandae kubadilisha crankshaft, rods, na pistons kama oil
Mkuu, please angalia post #74yeah true, ni stock block ndio inachukua hadi 1000hp
Hili swali mkuu lipo tricky kidogo. Lakini to answer it in short, turbocharged 2000cc subaru itakuwa ina consumed more fuel if you compare it with same model but not turbocharged.Wakuu tusaidiane hapa, subaru forester cc 2000 yenye turbo na cc2000 isiyo na turbo forester hiyo hiyo, ipi inakula zaidi mafuta?
Turbocharger haitumii nguvu ya engine mkuu, hio ni superchargerTurbocharger ni nzuri sana kwa gari zenye kwenda safari ndefu za Mara kwa Mara au mashindano (Rally).Turbocharger inaongeza engine performance kwa kuwa inawezesha hewa ya ziada kuingia ndani ya cylinder kwa ajili ya kuchoma mafuta. Vizuri, uchomaji mzuri wa mafuta huzalisha power nzuri itakayowezesha uwezo mzuri wa gari kuchanganya haraka....hivyo kukupa comfortable ride at high speeds...
Disadvantage kubwa ya Turbocharger ni kwamba inakula mafuta kwani inatumia nguvu ya engine pia...
Natumaini utakuwa umejifunza kitu kipya..
What do you mean unaposema upasukaji wa engine?Zote ni kama air compresso ila nk kwamba superchager imekua na hasara kuizid turbochager kwa maana super inamzungunguko mdogo tofaut na turbo na kwa mantik hiyo hapa utaona turbo inavyojichukulia point alafu upasukaj wa engine hayo ni matokeo tuu ya uendeshaji sio moja kwa moja uishutumu turbo maana waste gate valve zisingewekwa kwenye turbo.
hapana nakataa. aftermarket turbos zinadumu zaidi kama zikitumika as intended. abuse ndo huwa inaua turbo kwa mfano garret gt series ni imara sana kuliko factory turbo yoyote ile. why? better engineering.Yaan kitaalmu iko hv turbo chager ina zunguka zaidi ya mzunguko wa engine na 7bu hapo superchager inazidiwa point na kuusu ubora wa turbo inaaminika kua turbo inayojia na engine toka kiwandani inadumu zaid kuliko ile ya kuinunulia kwa sababu ilifanyiwa majaribio ya kutosha na waundaji wake.
Mkuu bigger is better vyovyote vile. One full rotation ya turbine yenye lets say 100mm sio sawa na full rotation ya turbo yenye 50mm turbine. wala usifikiri kama all superchargers zina same speed ya mzunguko, it all depends on the engine. One of the big advantage of supercharger over turbo ni instant power delivery, hakuna lag kabisaUkubwa wa superschager usikutishe yaani hyo haina njia ya kujiongezeaa speed kwa sababu hufanya kazi kama ifanyavo water pump au power steering