Sikuwahi kudhani masanja ni mpuuzi kiasi hiki, kuna wazazi wa watu wanalipwa chini ya hiyo laki tano na wanasomesha watoto na wanategemewa na jamii zao, kupata kwako isiwe dharau kwa wenzako huyo aliyekupa hashindwi kukunyang'anya usidharau wasio nacho bwege wewe
Pamoja na yote uliyosema huku mbeya ukiwa hushuriki misiba ya wenzako wanakuhesabia tu, siku ufiwe wewe ndio utajuta maana watakusaidia kila kitu kama hata kuchangia vibaba vya unga maharage na kuni na kuchimba kaburi lkn kuzika sasa makaburini makoleo yatafichwa na wewe ambae huzikagi wenzako...
Wallah CCM wakimpa ubunge huyu kahaba anaethubutu kumjadili mume wa MTU hadharani kwenye TV ati amenyang'anywa bwana ake, na mwenye mume asemeje sasa? Na huyo mama yake hata aibu haoni anamtukana kabisa kajala kama anachofanya mwanae ni halali, kwa vurugu zote alizofanya, kupigana global...
Mbona kimya @ Ally kombo au unapiga mix ya ngada na ganja ndio urudi? Maliza uje le akili ndogo, am humbled kubishana nawe leo akili ndogoz kama kinaniliu
We pimbi kweli mm ni mtumishi wa benki ya stanbic tawi la mbeya, jamiiforum ya sasa hivi weledi wa watu ni mdogo , umizeni vichwa kwa kufanya japo utafiti mdogo don't jump to stupid quick conclusions, Nina wasiwasi na uelewa wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.