Nadhani hiyo namba 2 haina ukweli kabisa. Madawa ya kulevya hayawezi kukoma kwa sababu ya mabasi hayaendi Stendi ya Magufuli. Ni kana kwamba madawa yanapitia tu kwenye mabasi. Wauza madawa wanapita hata kwenye magari binafsi na hata ya serikali na ndege.
Kwani hata bila kujiudhulu hatua za kisheroa haziwezi kuchululiwa? Mbona Baba yale wala sio MKUUUBWA kihiiiivyo kuzuia mifumo ya haki kufanya kazi? Kwanza tu hata kumkamata ni dalili kuwa inawezekana kushughulikiwa na haki ikatendeka.
Mimi nilidhani uzi wako umelenga kutoa elimu hiyo kumbe inaonekana hata wewe hujui. Kama unategemea mahakama kutoa elimu hiyo usiyoijua, umejuaje kuwa waandishi wanapotosha umma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.