Recent content by CHAKULANGA

  1. C

    ARUSHA: Makamu wa Rais amwagiza RC Mrisho Gambo kukabidhi fedha za rambirambi alizochukua kwa wahanga wa ajali

    Mmmmmm makubwa arudishe tu hakuna namna Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    ZIMBABWE: Mchungaji aliwa na Mamba Watatu akijaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

    Mungu atusaidie maana imani zingine zinatupoza sana.
  3. C

    MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

    Warudishe tu kama taratibu zinawataka wafanye hivyo
  4. C

    Nauza kibanda cha chipsi pamoja na vyombo mahala Dodoma

    Hata mimi tunaweza kuongea weka picha kwanza.
  5. C

    Vibali vya uhamisho Julai 2015

    Sijui lini ila itakuwa mwezi huu wa 7.Umeuliza swali nzuri maana na mimi nasubili.
  6. C

    Nimedanganya jinsia yangu

    Hapo naona wote mnamakosa.Huwezi mdanganya mtunkuwa wewe ni mwanamke na akafanya miamala yake.Naye atawezaje kuchat na mwanaume halafu asielewe.Nashuauri urudishe hiyo hela maana ukila utakuwa umehongwa na utatakiwa kuilipia
  7. C

    Mbunge: Kuna maaskofu wanahimiza kunywa pombe na kutovaa kondomu!

    Swala hapa si aliyeleta mada wala mbunge ila ni siasa za udini ndo zilizotawala mawazo ya wengi.Tuachane na uchochezi
  8. C

    Anaewajua wanyamwezi anisaidie

    Ila kwa uzoefu wangu kwa wanyamwezi wanapenda sana starehe kuliko maendeleo.So kama umeamua kumuoa jiandae kwa hilo
  9. C

    Anaewajua wanyamwezi anisaidie

    Ama kweli Wanyamwezi mmeelemika mpaka John Mihambo na wewe upo kwenye ulimwengu wa Digital?Haya hongera.
  10. C

    Faida 10 za kupiga punyeto!!

    Achane wehu punyeto na mbaya na haifai kabisa
  11. C

    Msaada tafadhali.... Binti huyu amefanya mapenzi na baba yake mzazi..soma kisa chake

    Yaani wewe umekosa wanaume wote Duniani umeamua kufanya mapenzi na baba yako.Acha tabia mbaya
  12. C

    Hali tete mazishi ya mchungaji aliyeuawa Buseresere

    Wakristo tusimame kwa zamu zetu kuliombea Taifa maana tunapoeleke siyo kuzuri.Dini haziwezi kutupeleka kkote bali Imani
Back
Top Bottom