Recent content by chakuc

  1. C

    Kwa wazazi tu:Suluhisho kwa watoto wasiopenda kula

    Kweli ule utafiti unaoonesha kua katika Watanzania 4/10 ni vichaa naanza kuamini. Tuvumiliane tu ni ugonjwa kama malaria na kuhara damu
  2. C

    Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

    Mke mzuri ni yule unayempenda wewe. Period.
  3. C

    The Interview: mshana Jr.

    Kaka Mshana hii post hujaijibu kwa mapana yake sorry ni 53 sio 93. Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  4. C

    The Interview: mshana Jr.

    Kaka Mshana. Kwanza nikupongeze kwa uwezo wako mkubwa saana wa kujieleza. Kiu yangu itatulia kama ungejibu post 93 kwa kirefu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Inasikitisha sana. Nimeumia sana Lissu ana kiwango cha juu sana ambapo vichwa vya kawaida ni ngumu kumuelewa anachozungumza. Naamini Mungu atamponya. Sitaki kuamini kwamba kwa hili ndo watakua wamemnyamazisha nafikiri ndo watakua wamemuongezea munkari. Viva Lissu VIVA my brother from another...
  6. C

    Natamani Mwalimu Nyerere angekuwepo aone jinsi rais JPM anavyotimiza aliyokuwa anayasema

    Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake hapa na ni kwasababu ID zinaficha nyuso zetu. Ukweli anayepinga mambo anayoyafanya Magufuli atakua nimiongoni mwa wanufaika wa mifumo mibovu. Hivi hawa wafanyakazi walikua na vyeti feki mnaona ni sawa kiwepo kwenye utumishi. Mimi ningekua na nafsani ya...
  7. C

    Nini husababisha wivu katika Mapenzi

    Mparestina: Nasikia niasili yenu. Ukipewa hela unafikisha ila sio mke wa mtu hafiki salama.
  8. C

    Mwili wa sir. Andy Chande wa Freemason kuchomwa moto

    Kikore: Una elimu nyingi sana ungetumika vizuri taifa lingefaidika. Lakini pia umetusahau sana ndugu zako huku nyumbani urudi basi kutukomboa maisha magumu. "Thela vetuti elimu bure mirao ni ngthu avae"
  9. C

    Makonda: Niliwatumia watu kupata degree yangu

    Ukweli kitoka moyoni mwangu mimi bado nakubaliana na Makonda. Hayo mengine ya vyeti hayatusaidii. Kwa maneno hayo namuona Makonda kama kiongozi ambaye hajawahikutokea Tanzania. Ana udhubutu. Haya mambo ya vyeti yameanza kunipa wasiwasi kua huenda ni vita dhidi ya harakati zake. Kama kweli...
  10. C

    Je, wewe unaweza toa tafsiri gani kutokana na hii picha?

    Pia dada yangu FaizaFoxy hawa jamaa ukweli wanaujua ila hawataki tu kuufuata. RC katika madundisho yao wanausoma uislam. Ila kwa heshma kubwa nakupongeza dada faizaFoxy Allah akulipe kwa jitihada zako unazozifanya
  11. C

    Je, wewe unaweza toa tafsiri gani kutokana na hii picha?

    FaizaFoxy: Kweli hapo unekasirika hadi umetoa maneno ambayo sikukutegemea kuyatoa. Fikisha kwa maneno mazuri
  12. C

    Uchawi huu wa kisambaa ni noma

    Kwanini masuala ya uchawi lazima yawe na mambo ya kutisha na yauchafu uchafu. Nini hekma yake mlamua Mshana jr
  13. C

    Michelle Obama anaondoka kwa kutuachia picha murua kabisa

    Unamjua Dambisa Moyo Jaribu kugoogle. She is smart than Michelle.
  14. C

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Muislam akisoma na akatekeleza uislam wake utasikia mdini. Mifano ni Dr. Dau. Marehem Kigoma Malima na naamini wapo wengine wengi amvao vita dhidi yao inawarudisha nyuma ila muda utaongea. La misingu tusome tupunguze kulalama.
  15. C

    Changamoto ambazo zimejitokeza kwenye zoezi la uhakiki wa vyeti na watumishi hewa

    Nashukuru mkùu. Kwani aliyeleta uzi naona kama hajarlewa vizuri. Tusikurupuke jamani.
Back
Top Bottom