Recent content by chaja2

  1. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Kwaiyo thread yangu ndio mmeona ya kuchetuana mambo yenu 😌
  2. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    +255 742 290 262
  3. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    😅😅😅 Hawa wapo arusha
  4. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    M Mimi nipo musoma Lengo la kuulizia hii baiskeli ni kwa ajili ya route za town na kazini ina pita lamini.
  5. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  6. chaja2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

    Bro sijaoa bado lakini Kwakweli kuna vitu sio vya kupost sehemu yenye watu wengi namna hii. Ongea nae mtafute solution nyingine
  7. chaja2

    JamiiForums Tanzania Rasmi, nimeamua kubet iwe kazi yangu

    Naomba ni pm nikupe mbinu ya kubeti na kushinda mkeka Hata mmi nipo kma wewe nasoma chuoni ila nahangaika sana hela hamna Mwezi sasa tangu nmejua hii mbinu aisee kubeti ni kutamu Ukiona utapeli pia unaweza acha. Sitaki pesa yako wala Ni pm tu mzee.
  8. chaja2

    JamiiForums Tanzania Mimea ina akili?

    Ngoja mmea wako ukue uvuke na fensi uende kwa jirani ako ndio utajua kua mmea. Una akili au akili una mmea. Bado hujasema.
  9. chaja2

    JamiiForums Tanzania Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

    The Rock
  10. chaja2

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry?

    Wewe subiri majibu acha kusingizia mtu flani. Alafu mbona unataka kusoma diploma huku umefaulu vizuri advance level. Ningekua wewe ninge omba kozi za pale sua zina future za kujiajijiri na kuajiriwa mbeleni.
  11. chaja2

    JamiiForums Tanzania Ninasoma HGK lakini sijui nitakuwa nani hapo baadaye

    Dogo life is not fair njoo unesi tuchungulie uchii utafaidi [emoji23]
  12. chaja2

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu wa kidato cha nne anaweza somea kozi ipi ya afya ngazi ya Diploma au Cheti?

    Hapo kuna kozi chache sana za afya kuna pharmacy certificate,community heath ,na heath record .
  13. chaja2

    JamiiForums Tanzania Hili linawezekana?

    Sijui ndio maana nimeuliza
  14. chaja2

    JamiiForums Tanzania Hili linawezekana?

    Shukran
  15. chaja2

    JamiiForums Tanzania Hili linawezekana?

    Ni diploma mkuu
Back
Top Bottom