Ninasoma HGK lakini sijui nitakuwa nani hapo baadaye

Mimi nilisoma HGK kama wewe nilivyofika chuo nikasomea kozi ya sayansi ya siasa na utawala( politics science and public admnistration). Hvyo kozi zipo nyingi tu ushindwe ww kusoma.
 
Samahani mimi ninasoma HGK lakin sijui nitakuwa Nani hapo baadae nilikua naomba mnipe ushauru ndugu zangu View attachment 1928372
-Kijana jua tuu kwamba bongo ajira zipo chache sana na kama hauna connection hali inazidi kuwa ngumu
-Cha Pili download TCU admission guidebook ya form six qualifiers uangalie kwa HGK ako unaweza soma soma kozi gani ukifika chuo
-WW UNAPENDA MAMBO GANI???
UNAVIPAJI VYA AINA GANI???
-kumbuka matajiri wengi duniani ukiachana na wafanya biashara ni watu wenye vipaji either ni footballer au musician au actors

Itz what itz
 
Back
Top Bottom