Recent content by Chaimaharagwe

  1. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Pengo: Wakataeni wanaosaka urais kwa mabilioni

    Kwani m2 akileta sadaka unamuuliza kwanza umeipataje?
  2. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC

    Mbona la kizungu??? Bora UKAWA mi najua maana yake....
  3. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka: Nikijiuzulu hata Rais atanishangaa

    Nimeshangazwa na mchango wa shule 2 kuwa sh. 1.6 bil heheheee....
  4. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Haha kwa nin mkuu
  5. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Point Mkuu. Tena nataman wangekuwa wanasoma hapa sasa hv kesho waanze kusambazwa upesi!!! Hali ni mbaya vyuoni.
  6. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Kwani Kingunge ni nan??
  7. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mgomo mzito wa Madaktari unakuja mwanzoni tuu mwa mwaka 2015

    Na tezi dume pia!!! Hahaha
  8. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania David Kafulila(MB) awaweka washauri wa JK Pagumu: Aonyesha JK alivyolivyolipotosha Taifa Leo

    Time will tell.......wanafiki wote TUTAWAJUA NA TUTAWANG'OA TU!!!!!!
  9. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Ungelikuwa wewe Ungelifanya nini?

    Hyo text ya mwisho "ok du so plz" mbona inaonesha km ulikubali kwenda??
  10. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Weiter leta Kilimanjaro bariiidi

    Kumbe una akili sana eh??!!
  11. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Mh rais usihutubie kabla ya kusoma hapa

    'Festi Ledi' ana impact kubwa zaidi hapo. ;-)
  12. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakristo tutumie dini zetu kudumisha amani na umoja wa kitataifa

    Mbona unahusisha matukio mawili yenye tofauti kubwa sana?? Mazingira aliyouawa Padri na aliyopgwa risasi Ponda ni sawa?? Usiweke hisia binafsi kwny uhalisia.
  13. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakristo tutumie dini zetu kudumisha amani na umoja wa kitataifa

    Chaguo la wengi ni chaguo la Mungu.....kama mlishndwa kuelewa mngemuuliza ufafanuz na sio kujikurupukia 2. Pia naomba uctoe tafsir icyo sahihi kuhusu neno Kafir nlilolitoa kwamba cjalihusisha na tusi....msijitetee maana tunawajua....MNASUPPORT MAUAJI YA WASIO WAISLAM!!!!
  14. Chaimaharagwe

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakristo tutumie dini zetu kudumisha amani na umoja wa kitataifa

    Ningependa waislam wote wawe km wewe!!!!! Kuna wanaosema waziwazi kwamba KAFIR HAPASWI KUISHI!!!! Wananpa definitely negativ perception kuhusu Uislam!!
Back
Top Bottom